Jose Mourinho afukuzwa kazi Tottenham

Jose Mourinho afukuzwa kazi Tottenham

Ukiangalia vizuri, utagundua kwamba mbinu za Morinho haizendani kabisa na mpira wa kisasa. Career yake inazidi kuharibika tu.
mkuu hii kauli niliitoa humu kwenye jukwaa la 'Spurs' niliandika "kwa mpira wa kisasa na aina ya makocha waliopo EPL kwasasa Mou atapata shida sana" wakamtetea kinoma kocha wao tena wakaniuliza huo mpira wa 'kisasa' ni upi....nikaona nisiwajibu muda utaongea.
 
Si ndiyo hiyo iliyofika final UCL ?
Fainal tangu mwka 2019 watu wale wale na wengine wamepungua.........

Unadhan kwa squad ile kuna kocha yoyote bora atatoboa au nitajie wachezeji watatu tu ukitoa kane na son watakaocheza kikosi cha kwnza cha Man city?

Mou kaangushwa na quality ya wachezaji

Come on PTER
 
Nashangaa Mungu kawasughulikia wote kamuacha M-mbabe. Siyo fair kabisa
Mwaka huu Mungu kaamua kushughulika na wenye viburi, jeuri, wababe na wenye kujiinua.

Hongereni Watanzania - naona wiki ijayo mtakula pilau la 40, au siyo?

Hongereni T Spurs.

Mwache Mungu aitwe Mungu!
 
Nakataa mzee kwa spurs wale hakuna kocha ambae angetoboa nao.

Team hamna watu kabisa.
Kwahiyo unataka kusema kwamba, Tottenham wamemuonea Morinho au? Kauli yako unamaanisha kwamba hakupewa alichokihitaji, Ili kusaidia team ifanye vizuri na kama alipewa,badi bado atalaumiwa kwa kushindwa kutumia raslimali zilizopo.

MAN U walimwaga mpunga,akaingia sokoni ila alichofanya kilikuwa madudu tu.
 
Man utd si tulichukua UEROPA na kushika nafasi ya pili kwenye ligi tena kwa kikosi kile cha ovyo......ulitka achukue EPL forward martial beki young???
 
Huyu mmiliki nilimwona mpumbavu alipomfukuza Potechino akamwajili Mourinho, sifa kubwa ya Mourinho ni kuweka bifu na wachezaji na ndicho alichofanya kingine ni kununua wachezaji kwa bei mbaya lakini hawaperfomu vizuri.
Chelsea na Inter alikuta sajili zimeshafanywa yeye aliongeza wachache ila madird alifeli kabisa
 
Si ndiyo hiyo iliyofika final UCL ?
Msimu uliopita timu zilizofika fainali Europa ni Inter na Sevilla msimu huu Inter alijitokea mapema hatua ya makundi. Bayern na PSG zilifika fainali ucl leo tulipo Bayern kashatolewa robo. Arsenal ilichukua FA na ngao ila msimu huu mapema tu wametolewa.

Na hizo timu zilikua hazijabadili makocha since previous campaign. Spurs inaweza jitetea kubadili makocha kumechangia.
 
Man utd si tulichukua UEROPA na kushika nafasi ya pili kwenye ligi tena kwa kikosi kile cha ovyo......ulitka achukue EPL forward martial beki young???
Unazunguzia ubovu wa kikosi? Umesahau zile hela zilizomwagwa wakati ule Ili afanye usajili wa kikosi ila akaambulia kusajili magarasa.Ubovu wa kikosi lilikuwa zigo lake pia.
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba, Tottenham wamemuonea Morinho au? Kauli yako unamaanisha kwamba hakupewa alichokihitaji, Ili kusaidia team ifanye vizuri na kama alipewa,badi bado atalaumiwa kwa kushindwa kutumia raslimali zilizopo.

MAN U walimwaga mpunga,akaingia sokoni ila alichofanya kilikuwa madudu tu.
Kwenye ukweli usemwe ivi Mourinho hakuna alichokifanya man U?
Mbona bora ya Mourinho kuliko uyu wa sasa ambaye hakuna alichofanya.
 
Unazunguzia ubovu wa kikosi? Umesahau zile hela zilizomwagwa wakati ule Ili afanye usajili wa kikosi ila akaambulia kusajili magarasa.Ubovu wa kikosi lilikuwa zigo lake pia.
Magarasa ambayo mpaka leo bado yanacheza United pale pale.
Yangekuwa magarasa si yangekuwa yameuzwa.
 
Huyu mmiliki nilimwona mpumbavu alipomfukuza Potechino akamwajili Mourinho, sifa kubwa ya Mourinho ni kuweka bifu na wachezaji na ndicho alichofanya kingine ni kununua wachezaji kwa bei mbaya lakini hawaperfomu vizuri.
Chelsea na Inter alikuta sajili zimeshafanywa yeye aliongeza wachache ila madird alifeli kabisa
Soka la wapi alilofeli madrid fuatilia vizuri Mana hauwezi sema alifeli wakati kiujumla akiwa madrid alifanikiwa, pia unazungumzia chelsea gani ambayo yeye alikuta usajili umefanyika, Mana yeye ndio aliiweka chelsea kwenye ramani pale Uingereza Mana kipindi anafika wafalme walikuwa ni Wenger na Fegurson.
 
Niambie wewe madrid wapi alifaulu, muda aliokaa na vikombe alivyochukua
 
Alifika madrid mwaka 2010 na alikaa mpaka mwaka 2013. Alichukua vikombe vitatu ambavyo ni Copa del Rey ambalo madrid alikuwa hajachukua kwa mda mrefu, La liga title ambalo lilikuwa mali ya barca kuwa misimu mitatu mfululizo alichukua la liga huku akiweka kumbukumbu ya pointi 100 na magori 121, Spanish supercup.
Aliwezesha madrid kunitoa kwenye mkosi wa kuishia robo fainali kwa kuifikisha nusu fainali misimu miwili mfululizo.
Akiwa madrid jumla ya mechi ni 178 alishinda 127,,draw 28 na lost 23.
Nachoelewa Mimi ni kwamba sehemu ambayo Mourinho kafeli ni katika timu ya Tottenham.
"I can't stand you and you can't stand me"
 
Unaweza kueleza kwanini Madrid walimtimua kama alikuwa na mafanikio
 
Umeelewa niliyoyaeleza hapo.
Ulisema nikueleze mafanikio ya Mourinho akiwa real madrid nimekueleza.
Afu Mourinho hakutimuliwa Real madrid.
Sehemu alizotimuliwa Mourinho ni Chelsea,,,Man united na Tottenham.
 
Alifika madrid mwaka 2010 na alikaa mpaka mwaka 2013. Alichukua vikombe vitatu ambavyo ni Copa del Rey ambalo madrid alikuwa hajachukua kwa mda mrefu, La liga title ambalo lilikuwa mali ya barca kuwa misimu mitatu mfululizo alichukua la liga huku akiweka kumbukumbu ya pointi 100 na magori 121, Spanish supercup.
Aliwezesha madrid kunitoa kwenye mkosi wa kuishia robo fainali kwa kuifikisha nusu fainali misimu miwili mfululizo.
Akiwa madrid jumla ya mechi ni 178 alishinda 127,,draw 28 na lost 23.
Nachoelewa Mimi ni kwamba sehemu ambayo Mourinho kafeli ni katika timu ya Tottenham.
"I can't stand you and you can't stand me"
Haya ndio majibu ya mtu mzima,safi sana brother
Timu Mourinho nimepata nguvu
 
Back
Top Bottom