permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Baada ya hapo ikawaje?Si ndiyo hiyo iliyofika final UCL ?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya hapo ikawaje?Si ndiyo hiyo iliyofika final UCL ?
mkuu hii kauli niliitoa humu kwenye jukwaa la 'Spurs' niliandika "kwa mpira wa kisasa na aina ya makocha waliopo EPL kwasasa Mou atapata shida sana" wakamtetea kinoma kocha wao tena wakaniuliza huo mpira wa 'kisasa' ni upi....nikaona nisiwajibu muda utaongea.Ukiangalia vizuri, utagundua kwamba mbinu za Morinho haizendani kabisa na mpira wa kisasa. Career yake inazidi kuharibika tu.
Fainal tangu mwka 2019 watu wale wale na wengine wamepungua.........Si ndiyo hiyo iliyofika final UCL ?
Mwaka huu Mungu kaamua kushughulika na wenye viburi, jeuri, wababe na wenye kujiinua.
Hongereni Watanzania - naona wiki ijayo mtakula pilau la 40, au siyo?
Hongereni T Spurs.
Mwache Mungu aitwe Mungu!
Kwahiyo unataka kusema kwamba, Tottenham wamemuonea Morinho au? Kauli yako unamaanisha kwamba hakupewa alichokihitaji, Ili kusaidia team ifanye vizuri na kama alipewa,badi bado atalaumiwa kwa kushindwa kutumia raslimali zilizopo.Nakataa mzee kwa spurs wale hakuna kocha ambae angetoboa nao.
Team hamna watu kabisa.
Man utd si tulichukua UEROPA na kushika nafasi ya pili kwenye ligi tena kwa kikosi kile cha ovyo......ulitka achukue EPL forward martial beki young???Kwahiyo unataka kusema kwamba, Tottenham wamemuonea Morinho au? Kauli yako unamaanisha kwamba hakupewa alichokihitaji, Ili kusaidia team ifanye vizuri na kama alipewa,badi bado atalaumiwa kwa kushindwa kutumia raslimali zilizopo.
MAN U walimwaga mpunga,akaingia sokoni ila alichofanya kilikuwa madudu tu.
Msimu uliopita timu zilizofika fainali Europa ni Inter na Sevilla msimu huu Inter alijitokea mapema hatua ya makundi. Bayern na PSG zilifika fainali ucl leo tulipo Bayern kashatolewa robo. Arsenal ilichukua FA na ngao ila msimu huu mapema tu wametolewa.Si ndiyo hiyo iliyofika final UCL ?
Unazunguzia ubovu wa kikosi? Umesahau zile hela zilizomwagwa wakati ule Ili afanye usajili wa kikosi ila akaambulia kusajili magarasa.Ubovu wa kikosi lilikuwa zigo lake pia.Man utd si tulichukua UEROPA na kushika nafasi ya pili kwenye ligi tena kwa kikosi kile cha ovyo......ulitka achukue EPL forward martial beki young???
Kwenye ukweli usemwe ivi Mourinho hakuna alichokifanya man U?Kwahiyo unataka kusema kwamba, Tottenham wamemuonea Morinho au? Kauli yako unamaanisha kwamba hakupewa alichokihitaji, Ili kusaidia team ifanye vizuri na kama alipewa,badi bado atalaumiwa kwa kushindwa kutumia raslimali zilizopo.
MAN U walimwaga mpunga,akaingia sokoni ila alichofanya kilikuwa madudu tu.
Ni tapeli wa kweli ambaye anajua kutengeneza pesa Mana sahiz atalipwaHuyu Jamaa ni Tapeli
Magarasa ambayo mpaka leo bado yanacheza United pale pale.Unazunguzia ubovu wa kikosi? Umesahau zile hela zilizomwagwa wakati ule Ili afanye usajili wa kikosi ila akaambulia kusajili magarasa.Ubovu wa kikosi lilikuwa zigo lake pia.
Soka la wapi alilofeli madrid fuatilia vizuri Mana hauwezi sema alifeli wakati kiujumla akiwa madrid alifanikiwa, pia unazungumzia chelsea gani ambayo yeye alikuta usajili umefanyika, Mana yeye ndio aliiweka chelsea kwenye ramani pale Uingereza Mana kipindi anafika wafalme walikuwa ni Wenger na Fegurson.Huyu mmiliki nilimwona mpumbavu alipomfukuza Potechino akamwajili Mourinho, sifa kubwa ya Mourinho ni kuweka bifu na wachezaji na ndicho alichofanya kingine ni kununua wachezaji kwa bei mbaya lakini hawaperfomu vizuri.
Chelsea na Inter alikuta sajili zimeshafanywa yeye aliongeza wachache ila madird alifeli kabisa
Niambie wewe madrid wapi alifaulu, muda aliokaa na vikombe alivyochukuaSoka la wapi alilofeli madrid fuatilia vizuri Mana hauwezi sema alifeli wakati kiujumla akiwa madrid alifanikiwa, pia unazungumzia chelsea gani ambayo yeye alikuta usajili umefanyika, Mana yeye ndio aliiweka chelsea kwenye ramani pale Uingereza Mana kipindi anafika wafalme walikuwa ni Wenger na Fegurson.
Alifika madrid mwaka 2010 na alikaa mpaka mwaka 2013. Alichukua vikombe vitatu ambavyo ni Copa del Rey ambalo madrid alikuwa hajachukua kwa mda mrefu, La liga title ambalo lilikuwa mali ya barca kuwa misimu mitatu mfululizo alichukua la liga huku akiweka kumbukumbu ya pointi 100 na magori 121, Spanish supercup.Niambie wewe madrid wapi alifaulu, muda aliokaa na vikombe alivyochukua
Unaweza kueleza kwanini Madrid walimtimua kama alikuwa na mafanikioAlifika madrid mwaka 2010 na alikaa mpaka mwaka 2013. Alichukua vikombe vitatu ambavyo ni Copa del Rey ambalo madrid alikuwa hajachukua kwa mda mrefu, La liga title ambalo lilikuwa mali ya barca kuwa misimu mitatu mfululizo alichukua la liga huku akiweka kumbukumbu ya pointi 100 na magori 121, Spanish supercup.
Aliwezesha madrid kunitoa kwenye mkosi wa kuishia robo fainali kwa kuifikisha nusu fainali misimu miwili mfululizo.
Akiwa madrid jumla ya mechi ni 178 alishinda 127,,draw 28 na lost 23.
Nachoelewa Mimi ni kwamba sehemu ambayo Mourinho kafeli ni katika timu ya Tottenham.
"I can't stand you and you can't stand me"
Umeelewa niliyoyaeleza hapo.Unaweza kueleza kwanini Madrid walimtimua kama alikuwa na mafanikio
Haya ndio majibu ya mtu mzima,safi sana brotherAlifika madrid mwaka 2010 na alikaa mpaka mwaka 2013. Alichukua vikombe vitatu ambavyo ni Copa del Rey ambalo madrid alikuwa hajachukua kwa mda mrefu, La liga title ambalo lilikuwa mali ya barca kuwa misimu mitatu mfululizo alichukua la liga huku akiweka kumbukumbu ya pointi 100 na magori 121, Spanish supercup.
Aliwezesha madrid kunitoa kwenye mkosi wa kuishia robo fainali kwa kuifikisha nusu fainali misimu miwili mfululizo.
Akiwa madrid jumla ya mechi ni 178 alishinda 127,,draw 28 na lost 23.
Nachoelewa Mimi ni kwamba sehemu ambayo Mourinho kafeli ni katika timu ya Tottenham.
"I can't stand you and you can't stand me"