Jose Mourinho , kocha anayebebwa na pesa za usajili

Huu ndio ukweli , kila alikopita ( ukiacha bahatisha ndulute ya porto ) anabebwa na kitita cha usajili kinachomuwezesha kununua mchezaji amtakaye .

Shortly ni kwamba anabebwa na wachezaji nyota , vinginevyo huyu jamaa ni kocha wa kawaida sana .

Ushahidi wa jambo hili ni kikosi cha chelsea cha msimu huu , hakina nyota wa kiwango cha juu na ndio maana ameshindwa ku deliver hali iliyopelekea kutimuliwa mithili ya paka aliyekunywa maziwa ya mtoto .

Akizungumzia ujio wa Pep Guardiolla Manchester city , kocha wa Stoke city Mark Hughes alisema , ili kocha athibitishe ubora wake ni vema azichukue MID - TEAMS ( timu zinazoshika nafasi za kati ) na kuzitransform hadi zitwae makombe , na asisifiwe uzuri kwa kubebwa na bajeti nzuri ya klabu .

Sasa wanaoshangilia ujio wa Mourinho Man U wanapaswa kutambua kwamba bila wachezaji wakali huyu jamaa si chochote .
For that sense Claudio Ranieri ndo Coach bora
 
Ni mtazamo tu!
 
Kocha boya sana, sijawahi furahia uteuzi wake pale man u, basi tu, yaani mpira Wa man u ni wakurenga kwa manati kazi kuweka mizigo uwanjani
 
Kocha gani wa sasa asiyebebwa na pesa ya usajili mkubwa na akawa na mafanikio makubwa!?
 
Leo unaanzisha threads za kiwango cha chini hadi najiuliza ni wewe kweli au umerogwa?
 
6551baaaf142a937584012002648a21e.jpg
 
Back
Top Bottom