Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GudMourinho ni kocha mkubwa, mwenye ndoto kubwakubwa, na anastahili kuwa kwenye klabu kubwa.
Kwa rekodi ya mafanikio yake, inashangaza sana kama kuna mtu duniani anayeweza kusema eti ni kocha wa kawaida.
Ni kweli kuwa anapendelea watu walio tayari kufanya kazi kuliko watoto wa academy lkn anakumbukwa kwa kumuibua na kumpa nafasi centerhalf wa Real Madrid Rapahael Varane, na pia akina Mesut Ozil, Di Maria wote walipata namba wakiwana umri mdogo. Naamini kama mtu ana kipaji na yuko tayari kufuata maelekezo ya Mourinho, anaweza kufanikiwa licha ya umri wake
kipimo chako kubeba UEFA?..wenger ni mjenzi,sio mbinafsi kama ferguson alieacha kujenga timu kabla ya kuondoka,miaka 10 tangu 2004 arsenal hawajakua na uwezo wa kununua wachezaj wazuri kisa emirates,muhukumu wenger kuanzia 2014/15hakuna anaemfikia wenger hata UEFA wakati hajawahi beba hilo kombe nadhani arsenal kwa mfumo huo watabaki kulalamika tuu ila mafankio watayaona kwa mbali sana...
unamaanisha abramovich alpoinunua chelsea hakutumia hela kununua wachezaji wazuri?..financial dopping alioililia wenger ilifanyika wapi?Mbona porto na chelse aliikuta ya kawaida sana lakini akaenda nayo mpaka kachukua vikombe.
mkuu wenger hajaanza kudundisha muda huo unaosema asipoangalia anaweza asibebe maisha yake yote watu wanawekeza kwa fedha nyingi kununua wachezaji wachukue ubingwa..wewe unazungumzia kujenga Timu..kocha mzuri anapimwa kwa mafanikio mazuri...kipimo chako kubeba UEFA?..wenger ni mjenzi,sio mbinafsi kama ferguson alieacha kujenga timu kabla ya kuondoka,miaka 10 tangu 2004 arsenal hawajakua na uwezo wa kununua wachezaj wazuri kisa emirates,muhukumu wenger kuanzia 2014/15
Hataondoka vizuri Man U nawahakikishia mara pamoja , na utaalamu wake mara nyingi mwisho wake huwa mbaya,
Asiyefungwa na asernal wenger kafikausiyempenda kaja
Asiyefungwa na asernal wenger kafika
mkuu wenger hajaanza kudundisha muda huo unaosema asipoangalia anaweza asibebe maisha yake yote watu wanawekeza kwa fedha nyingi kununua wachezaji wachukue ubingwa..wewe unazungumzia kujenga Timu..kocha mzuri anapimwa kwa mafanikio mazuri...
mkuu wenger hajaanza kudundisha muda huo unaosema asipoangalia anaweza asibebe maisha yake yote watu wanawekeza kwa fedha nyingi kununua wachezaji wachukue ubingwa..wewe unazungumzia kujenga Timu..kocha mzuri anapimwa kwa mafanikio mazuri...
Anaweza kuwa kocha wa kwanza kabisa kutimuliwa , sioni mwanga wowote mbele ya Morinho Man U , matarajio ya mashabiki wa Man yako juu mno bila kuangalia aina ya wachezaji walionao .Hataondoka vizuri Man U nawahakikishia mara pamoja , na utaalamu wake mara nyingi mwisho wake huwa mbaya,
kipimo chako kubeba UEFA?..wenger ni mjenzi,sio mbinafsi kama ferguson alieacha kujenga timu kabla ya kuondoka,miaka 10 tangu 2004 arsenal hawajakua na uwezo wa kununua wachezaj wazuri kisa emirates,muhukumu wenger kuanzia 2014/15
Anaweza kuwa kocha wa kwanza kabisa kutimuliwa , sioni mwanga wowote mbele ya Morinho Man U , matarajio ya mashabiki wa Man yako juu mno bila kuangalia aina ya wachezaji walionao .
Kingine ni kwamba kwa sasa kwenye soko la wachezaji hakuna mchezaji wa maana , huo ndio ukweli .