Jose Mourinho , kocha anayebebwa na pesa za usajili

hakuna anaemfikia wenger hata UEFA wakati hajawahi beba hilo kombe nadhani arsenal kwa mfumo huo watabaki kulalamika tuu ila mafankio watayaona kwa mbali sana...
 
Mourinho ni kocha mkubwa, mwenye ndoto kubwakubwa, na anastahili kuwa kwenye klabu kubwa.

Kwa rekodi ya mafanikio yake, inashangaza sana kama kuna mtu duniani anayeweza kusema eti ni kocha wa kawaida.
Ni kweli kuwa anapendelea watu walio tayari kufanya kazi kuliko watoto wa academy lkn anakumbukwa kwa kumuibua na kumpa nafasi centerhalf wa Real Madrid Rapahael Varane, na pia akina Mesut Ozil, Di Maria wote walipata namba wakiwana umri mdogo. Naamini kama mtu ana kipaji na yuko tayari kufuata maelekezo ya Mourinho, anaweza kufanikiwa licha ya umri wake
 
Gud
 
hakuna anaemfikia wenger hata UEFA wakati hajawahi beba hilo kombe nadhani arsenal kwa mfumo huo watabaki kulalamika tuu ila mafankio watayaona kwa mbali sana...
kipimo chako kubeba UEFA?..wenger ni mjenzi,sio mbinafsi kama ferguson alieacha kujenga timu kabla ya kuondoka,miaka 10 tangu 2004 arsenal hawajakua na uwezo wa kununua wachezaj wazuri kisa emirates,muhukumu wenger kuanzia 2014/15
 
mkuu wenger hajaanza kudundisha muda huo unaosema asipoangalia anaweza asibebe maisha yake yote watu wanawekeza kwa fedha nyingi kununua wachezaji wachukue ubingwa..wewe unazungumzia kujenga Timu..kocha mzuri anapimwa kwa mafanikio mazuri...
 
Hataondoka vizuri Man U nawahakikishia mara pamoja , na utaalamu wake mara nyingi mwisho wake huwa mbaya,
 
Kwa makocha profile ni kitu safi kabisa morinyo kachukua ueropa uefa ,club bingwa dunia, ligi England, Italy ,Spain, Portugal na ninaimani akitoka man u ataenda buyern atachukua tena kisha ataanza kufundisha national teams huyu jamaa kiboko
 
mkuu wenger hajaanza kudundisha muda huo unaosema asipoangalia anaweza asibebe maisha yake yote watu wanawekeza kwa fedha nyingi kununua wachezaji wachukue ubingwa..wewe unazungumzia kujenga Timu..kocha mzuri anapimwa kwa mafanikio mazuri...
 
mkuu wenger hajaanza kudundisha muda huo unaosema asipoangalia anaweza asibebe maisha yake yote watu wanawekeza kwa fedha nyingi kununua wachezaji wachukue ubingwa..wewe unazungumzia kujenga Timu..kocha mzuri anapimwa kwa mafanikio mazuri...
 
Hataondoka vizuri Man U nawahakikishia mara pamoja , na utaalamu wake mara nyingi mwisho wake huwa mbaya,
Anaweza kuwa kocha wa kwanza kabisa kutimuliwa , sioni mwanga wowote mbele ya Morinho Man U , matarajio ya mashabiki wa Man yako juu mno bila kuangalia aina ya wachezaji walionao .

Kingine ni kwamba kwa sasa kwenye soko la wachezaji hakuna mchezaji wa maana , huo ndio ukweli .
 
kipimo chako kubeba UEFA?..wenger ni mjenzi,sio mbinafsi kama ferguson alieacha kujenga timu kabla ya kuondoka,miaka 10 tangu 2004 arsenal hawajakua na uwezo wa kununua wachezaj wazuri kisa emirates,muhukumu wenger kuanzia 2014/15

Kwa hiyo ukijenga uwanja ndio kisingizio cha kufungwa ?
 
Anaweza kuwa kocha wa kwanza kabisa kutimuliwa , sioni mwanga wowote mbele ya Morinho Man U , matarajio ya mashabiki wa Man yako juu mno bila kuangalia aina ya wachezaji walionao .

Kingine ni kwamba kwa sasa kwenye soko la wachezaji hakuna mchezaji wa maana , huo ndio ukweli .

Aisee! umenawa uso kweli? unajua nguvu ya pesa kweli? wachezaji wapo wngi wa maana ni jinsi gani unawatumia. Achana na akili za Wenga akishindwa kusajili anasema sokoni hapakwepo na washambuliaji.
 
Back
Top Bottom