Jose Mourinho , kocha anayebebwa na pesa za usajili

Nawasiwasi na wale madogo kupotea kwenye ramani ya mpira
 
chelsea wachezaji walimfanyia hujua jose but binafsi mi namkubali kama ni moja ya makocha wenye mvuto ndani na nje ya uwanja. husema anachoamini na kuamua anachoamini pia. mambo mengine nia ajali za kimichezo nliichukia chelsea sana kwa vitendo vya kumhujumu ili aondolewe wakasahau kuwa aliwah wapatia ushindi na kuifanya kuwa moja ya team nzuri za kuogopwa. but mwaka jana waliamua kumuaibisha kwa kuwa tu wamepishana naye kimtizamo. nami nimeamua kujitoa chelsea na hisa zangu zote nimezichukua. nahamia man u ingawa sipend jina lao la mashetani wekundu.
 
We kweli chiz maarifa
 
Huu ndio ukweli , kila alikopita ( ukiacha bahatisha ndulute ya porto ) anabebwa na kitita cha usajili kinachomuwezesha kununua mchezaji amtakaye .

Shortly ni kwamba anabebwa na wachezaji nyota , vinginevyo huyu jamaa ni kocha wa kawaida sana .

Ushahidi wa jambo hili ni kikosi cha chelsea cha msimu huu , hakina nyota wa kiwango cha juu na ndio maana ameshindwa ku deliver hali iliyopelekea kutimuliwa mithili ya paka aliyekunywa maziwa ya mtoto .

Akizungumzia ujio wa Pep Guardiolla Manchester city , kocha wa Stoke city Mark Hughes alisema , ili kocha athibitishe ubora wake ni vema azichukue MID - TEAMS ( timu zinazoshika nafasi za kati ) na kuzitransform hadi zitwae makombe , na asisifiwe uzuri kwa kubebwa na bajeti nzuri ya klabu .

Sasa wanaoshangilia ujio wa Mourinho Man U wanapaswa kutambua kwamba bila wachezaji wakali huyu jamaa si chochote .
Chelsea walimfanyia hujumaa... Na intermilan nako utasema ni pesa zilifanya ashinde??,na good manager anapimwa kwa vitu vingi cha kwanza ni kuweza kupanga na kutumia resources zako vizurii na hicho mourinho ndio kitu kikubwa anachowashinda makocha wengi. Unaweza ukawa na fungu kubwa la asajil ila ukasajili utumbo kama ilivyo kua realmadrid kabla ya ujio wa mourinho na ile team iliyochukua UCL yote ilikua ni ile alioiacha mourinho kifupi ancellot alisafiria nyota ya mourinho na huyo pep ndio hamna kitu na ona jinsi atakavyofeli pale MUC
 
kabila la kwetu Nyamva maana yake ni ULE UCHAFU UNAOTOLEWA BAADA YA MTU KULA CHAKULA... yaani unapoenda haja kubwa.
Na Mimi najua nyamva ni usafi aufanyao mama yako baada ya kusukumiwa kwani we kamusi ya kabila len ni maana tu
 
aiseee...bahati mbaya au nzuri mimi namweshimu sana mama na baba yako. hao nawaona ni kama wazazi wangu pia. na nitaendelea kuwaheshimu maana nlilelewa na wazaz wangu wote wawili na walinifundisha malezi mema kuwa nisiwatukane watu na hasa wazaz wa mtu mwingine. nashukuru kuwa nlipata malezi ambayo wengi hawakufanikiwa walilelewa na mitaa ... so hongera sana maana pia umeweza kufanikiwa kusoma na kuandika na hilo nalo ni la muhimu. wengine huwa hawajui hata kusoma na kuandika.

Haya ndo majibu sheikh.busara huwa anaonyeshwa mwenye busara wakati chuma hufua chuma.keep on keeping on umemjibu vizuri ila nna hamu ya kum2kana huyo **** kwa ajili yako mana me mwenyewe wareware kila daladala staff ila nimekuelewa mbaya best c maarifa pole achana na mwehu huyo
 
Kama anatumia Pesa kuleta makombe ni sawa kabisa. Van Gaal alipewa kila kitu akachemka mwenyewe. Sasa alaumiwe nani!?
 
Mleta mada naomba nikuulize, hivi Wenger Wa Arsenal akina Mesut Ozil na Alexis Sanchez aliwapata bure!? Au alitumia Pesa kuwanunua toka klabu zao!? Kwa nini hakusubiri mikataba yao imalizike ili awapate bure bila kutoa senti tano!?
 
Huu ndio ukweli , kila alikopita ( ukiacha bahatisha ndulute ya porto ) anabebwa na kitita cha usajili kinachomuwezesha kununua mchezaji amtakaye .

Shortly ni kwamba anabebwa na wachezaji nyota , vinginevyo huyu jamaa ni kocha wa kawaida sana .

Ushahidi wa jambo hili ni kikosi cha chelsea cha msimu huu , hakina nyota wa kiwango cha juu na ndio maana ameshindwa ku deliver hali iliyopelekea kutimuliwa mithili ya paka aliyekunywa maziwa ya mtoto .

Akizungumzia ujio wa Pep Guardiolla Manchester city , kocha wa Stoke city Mark Hughes alisema , ili kocha athibitishe ubora wake ni vema azichukue MID - TEAMS ( timu zinazoshika nafasi za kati ) na kuzitransform hadi zitwae makombe , na asisifiwe uzuri kwa kubebwa na bajeti nzuri ya klabu .

Sasa wanaoshangilia ujio wa Mourinho Man U wanapaswa kutambua kwamba bila wachezaji wakali huyu jamaa si chochote .
Man utd, Chelsea, Madrid hizi zone Ni timu kubwa,so tegemea world class footballers, na maoni ya Mark Hughes huo ni mtazamo wake tu,kwa soka la sasa bila hela utakua mshindani tu,au tegemea ngekewa ka ya Leicester city ambayo ni vigumu kutokea tena.
 
Mleta mada naomba nikuulize, hivi Wenger Wa Arsenal akina Mesut Ozil na Alexis Sanchez aliwapata bure!? Au alitumia Pesa kuwanunua toka klabu zao!? Kwa nini hakusubiri mikataba yao imalizike ili awapate bure bila kutoa senti tano!?
Angalau wenger anaweza kubadilisha mawe kuwa mikate , morinho hana ujanja huo , ukimpa timu kama stoke anaishusha daraja .
 
Man utd, Chelsea, Madrid hizi zone Ni timu kubwa,so tegemea world class footballers, na maoni ya Mark Hughes huo ni mtazamo wake tu,kwa soka la sasa bila hela utakua mshindani tu,au tegemea ngekewa ka ya Leicester city ambayo ni vigumu kutokea tena.
Kwa kiasi kikubwa umekubali kwamba bila hela morinho si chochote , hilo ndio lilikuwa lengo langu .
 
Aisee! umenawa uso kweli? unajua nguvu ya pesa kweli? wachezaji wapo wngi wa maana ni jinsi gani unawatumia. Achana na akili za Wenga akishindwa kusajili anasema sokoni hapakwepo na washambuliaji.
Kama pesa inachukua ubingwa Van Gaal angebeba ndo misimu yake yote miwili mfululizo kulingana na pesa alizotumia, na Leicester ingekuwa imeshuka daraja.
 
Kwa kiasi kikubwa umekubali kwamba bila hela morinho si chochote , hilo ndio lilikuwa lengo langu .
Fungua kichwa,nimesema kwa soka la sasa hela inamchango mkubwa sana regardless who is coaching,sijasema kwa Mou tu,nakumbuka Kua ukishakua na hela pia wahitaji ufundi hapo ndipo akina mou na wenzake wanaingia
 
Akiweza kubadili timu kibonde ya Man U nitamfikiria .
 
Back
Top Bottom