Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kweli chiz maarifachelsea wachezaji walimfanyia hujua jose but binafsi mi namkubali kama ni moja ya makocha wenye mvuto ndani na nje ya uwanja. husema anachoamini na kuamua anachoamini pia. mambo mengine nia ajali za kimichezo nliichukia chelsea sana kwa vitendo vya kumhujumu ili aondolewe wakasahau kuwa aliwah wapatia ushindi na kuifanya kuwa moja ya team nzuri za kuogopwa. but mwaka jana waliamua kumuaibisha kwa kuwa tu wamepishana naye kimtizamo. nami nimeamua kujitoa chelsea na hisa zangu zote nimezichukua. nahamia man u ingawa sipend jina lao la mashetani wekundu.
We kweli chiz maarifa
Chelsea walimfanyia hujumaa... Na intermilan nako utasema ni pesa zilifanya ashinde??,na good manager anapimwa kwa vitu vingi cha kwanza ni kuweza kupanga na kutumia resources zako vizurii na hicho mourinho ndio kitu kikubwa anachowashinda makocha wengi. Unaweza ukawa na fungu kubwa la asajil ila ukasajili utumbo kama ilivyo kua realmadrid kabla ya ujio wa mourinho na ile team iliyochukua UCL yote ilikua ni ile alioiacha mourinho kifupi ancellot alisafiria nyota ya mourinho na huyo pep ndio hamna kitu na ona jinsi atakavyofeli pale MUCHuu ndio ukweli , kila alikopita ( ukiacha bahatisha ndulute ya porto ) anabebwa na kitita cha usajili kinachomuwezesha kununua mchezaji amtakaye .
Shortly ni kwamba anabebwa na wachezaji nyota , vinginevyo huyu jamaa ni kocha wa kawaida sana .
Ushahidi wa jambo hili ni kikosi cha chelsea cha msimu huu , hakina nyota wa kiwango cha juu na ndio maana ameshindwa ku deliver hali iliyopelekea kutimuliwa mithili ya paka aliyekunywa maziwa ya mtoto .
Akizungumzia ujio wa Pep Guardiolla Manchester city , kocha wa Stoke city Mark Hughes alisema , ili kocha athibitishe ubora wake ni vema azichukue MID - TEAMS ( timu zinazoshika nafasi za kati ) na kuzitransform hadi zitwae makombe , na asisifiwe uzuri kwa kubebwa na bajeti nzuri ya klabu .
Sasa wanaoshangilia ujio wa Mourinho Man U wanapaswa kutambua kwamba bila wachezaji wakali huyu jamaa si chochote .
Na Mimi najua nyamva ni usafi aufanyao mama yako baada ya kusukumiwa kwani we kamusi ya kabila len ni maana tukabila la kwetu Nyamva maana yake ni ULE UCHAFU UNAOTOLEWA BAADA YA MTU KULA CHAKULA... yaani unapoenda haja kubwa.
Na Mimi najua nyamva ni usafi aufanyao mama yako baada ya kusukumiwa kwani we kamusi ya kabila len ni maana tu
Haya ndo majibu sheikh.busara huwa anaonyeshwa mwenye busara wakati chuma hufua chuma.keep on keeping on umemjibu vizuri ila nna hamu ya kum2kana huyo **** kwa ajili yako mana me mwenyewe wareware kila daladala staff ila nimekuelewa mbaya best c maarifa pole achana na mwehu huyoaiseee...bahati mbaya au nzuri mimi namweshimu sana mama na baba yako. hao nawaona ni kama wazazi wangu pia. na nitaendelea kuwaheshimu maana nlilelewa na wazaz wangu wote wawili na walinifundisha malezi mema kuwa nisiwatukane watu na hasa wazaz wa mtu mwingine. nashukuru kuwa nlipata malezi ambayo wengi hawakufanikiwa walilelewa na mitaa ... so hongera sana maana pia umeweza kufanikiwa kusoma na kuandika na hilo nalo ni la muhimu. wengine huwa hawajui hata kusoma na kuandika.
Man utd, Chelsea, Madrid hizi zone Ni timu kubwa,so tegemea world class footballers, na maoni ya Mark Hughes huo ni mtazamo wake tu,kwa soka la sasa bila hela utakua mshindani tu,au tegemea ngekewa ka ya Leicester city ambayo ni vigumu kutokea tena.Huu ndio ukweli , kila alikopita ( ukiacha bahatisha ndulute ya porto ) anabebwa na kitita cha usajili kinachomuwezesha kununua mchezaji amtakaye .
Shortly ni kwamba anabebwa na wachezaji nyota , vinginevyo huyu jamaa ni kocha wa kawaida sana .
Ushahidi wa jambo hili ni kikosi cha chelsea cha msimu huu , hakina nyota wa kiwango cha juu na ndio maana ameshindwa ku deliver hali iliyopelekea kutimuliwa mithili ya paka aliyekunywa maziwa ya mtoto .
Akizungumzia ujio wa Pep Guardiolla Manchester city , kocha wa Stoke city Mark Hughes alisema , ili kocha athibitishe ubora wake ni vema azichukue MID - TEAMS ( timu zinazoshika nafasi za kati ) na kuzitransform hadi zitwae makombe , na asisifiwe uzuri kwa kubebwa na bajeti nzuri ya klabu .
Sasa wanaoshangilia ujio wa Mourinho Man U wanapaswa kutambua kwamba bila wachezaji wakali huyu jamaa si chochote .
Angalau wenger anaweza kubadilisha mawe kuwa mikate , morinho hana ujanja huo , ukimpa timu kama stoke anaishusha daraja .Mleta mada naomba nikuulize, hivi Wenger Wa Arsenal akina Mesut Ozil na Alexis Sanchez aliwapata bure!? Au alitumia Pesa kuwanunua toka klabu zao!? Kwa nini hakusubiri mikataba yao imalizike ili awapate bure bila kutoa senti tano!?
Kwa kiasi kikubwa umekubali kwamba bila hela morinho si chochote , hilo ndio lilikuwa lengo langu .Man utd, Chelsea, Madrid hizi zone Ni timu kubwa,so tegemea world class footballers, na maoni ya Mark Hughes huo ni mtazamo wake tu,kwa soka la sasa bila hela utakua mshindani tu,au tegemea ngekewa ka ya Leicester city ambayo ni vigumu kutokea tena.
Kama pesa inachukua ubingwa Van Gaal angebeba ndo misimu yake yote miwili mfululizo kulingana na pesa alizotumia, na Leicester ingekuwa imeshuka daraja.Aisee! umenawa uso kweli? unajua nguvu ya pesa kweli? wachezaji wapo wngi wa maana ni jinsi gani unawatumia. Achana na akili za Wenga akishindwa kusajili anasema sokoni hapakwepo na washambuliaji.
.Hiyo inaitwa usiyempenda kaja...Mbona bado mwaka huu mapovu yatawatoka sana..
Fungua kichwa,nimesema kwa soka la sasa hela inamchango mkubwa sana regardless who is coaching,sijasema kwa Mou tu,nakumbuka Kua ukishakua na hela pia wahitaji ufundi hapo ndipo akina mou na wenzake wanaingiaKwa kiasi kikubwa umekubali kwamba bila hela morinho si chochote , hilo ndio lilikuwa lengo langu .
Kama ulijua , kuna uzi unakuja kwa ajili hiyo hiyo .Ungetutajia makocha wasiotumia hela na mafanikio yao