Akiweza kubadili timu kibonde ya Man U nitamfikiria .
Anaweza kubadili mawe kuwa mikate ?Anza kumfikiria sasa.
Anaweza kubadili mawe yaliyokataliwa na kuyafanya kuwa mawe makuu ya pembeni...Anaweza kubadili mawe kuwa mikate ?
For that sense Claudio Ranieri ndo Coach boraHuu ndio ukweli , kila alikopita ( ukiacha bahatisha ndulute ya porto ) anabebwa na kitita cha usajili kinachomuwezesha kununua mchezaji amtakaye .
Shortly ni kwamba anabebwa na wachezaji nyota , vinginevyo huyu jamaa ni kocha wa kawaida sana .
Ushahidi wa jambo hili ni kikosi cha chelsea cha msimu huu , hakina nyota wa kiwango cha juu na ndio maana ameshindwa ku deliver hali iliyopelekea kutimuliwa mithili ya paka aliyekunywa maziwa ya mtoto .
Akizungumzia ujio wa Pep Guardiolla Manchester city , kocha wa Stoke city Mark Hughes alisema , ili kocha athibitishe ubora wake ni vema azichukue MID - TEAMS ( timu zinazoshika nafasi za kati ) na kuzitransform hadi zitwae makombe , na asisifiwe uzuri kwa kubebwa na bajeti nzuri ya klabu .
Sasa wanaoshangilia ujio wa Mourinho Man U wanapaswa kutambua kwamba bila wachezaji wakali huyu jamaa si chochote .
Swadakta !For that sense Claudio Ranieri ndo Coach bora
Ni mtazamo tu!Huu ndio ukweli , kila alikopita ( ukiacha bahatisha ndulute ya porto ) anabebwa na kitita cha usajili kinachomuwezesha kununua mchezaji amtakaye .
Shortly ni kwamba anabebwa na wachezaji nyota , vinginevyo huyu jamaa ni kocha wa kawaida sana .
Ushahidi wa jambo hili ni kikosi cha chelsea cha msimu huu , hakina nyota wa kiwango cha juu na ndio maana ameshindwa ku deliver hali iliyopelekea kutimuliwa mithili ya paka aliyekunywa maziwa ya mtoto .
Akizungumzia ujio wa Pep Guardiolla Manchester city , kocha wa Stoke city Mark Hughes alisema , ili kocha athibitishe ubora wake ni vema azichukue MID - TEAMS ( timu zinazoshika nafasi za kati ) na kuzitransform hadi zitwae makombe , na asisifiwe uzuri kwa kubebwa na bajeti nzuri ya klabu .
Sasa wanaoshangilia ujio wa Mourinho Man U wanapaswa kutambua kwamba bila wachezaji wakali huyu jamaa si chochote .
Ha! Ha! Ha! Mkuu makaburi ya nini tena ?Ni mtazamo tu!
Pamoja na kwamba si za kiwango unachokisema lakini si za leo , soma vizuri .Leo unaanzisha threads za kiwango cha chini hadi najiuliza ni wewe kweli au umerogwa?
Mou nae ni LVG mpya!!Mlikua mnataka van gaal abaki ot ilituendelee kua mabwege sio! imekula kwenu hii ni new united hallaaa.. hamkosag ya kusema