Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
I wish Yanga ingekuwa na uwezo kifedha ikamnyaka José Mourinho hata kwa miezi 6 tuMasupastaa wajipange. Mwamba huwa hadekezi wauza sura. Ukifanya kazi atakukubali. Ukimletea ujuaji na kuuza sura kwingi, anakutupa kwenye hii kitu 🚮
Aelewe kuwa mpira umebadilika,
Mbinu zake za kizamani aachane nazo
Madrid wamegoma kutake risk tena kama walivyofanya Kwa Alonso kuchukua young coaches na kuwajaribu, Kulikuwa na options za makocha kadhaa wanaokuja Kwa Kasi na wapo wasio na timu Hadi sasa, wenzao Bayern waliamua kutake risk Kwa Vicent, Ninachoona Perez siyo kwamba hajaona makocha wengine Bali ameangalia Ile status quo pamoja na dressing room mgt, Jose mourinho he don't give a fu*k about players name, Bora afukuzwe kazi lakini siyo kuendeshwa na watoto kama kina MBAPE & Co.... Mourinho ndie mtu alyeileta Madrid kwenye Ramani ya UEFA before yeye Madrid was nothing kabisa ilikuwa inaishia kwenye makundi hukoo but yy ndo aliweka msingi, ngoja tuone hii gamble.
Don carloLaana inaendelea kuwatafuna Madrid kwa walichomfanyia Carlo. wataendelea kubadilisha makocha tu
Hayo maneno ya wachambuzi ucharwa mbinu gani za kizamani?Aelewe kuwa mpira umebadilika,
Mbinu zake za kizamani aachane nazo
Ataleta mchezo wa kukaa na mpira, mchezo wa Barcelona, mchezo ambao sio tamaduni na Blancos, na wanaupinga. Mchezo wa matokeo, umemrudisha Mou.. Marca.Pep alikuwa anafaa sana kuinoa RealMadrid
Ili amnyooshe diara cha kudeka🤣I wish Yanga ingekuwa na uwezo kifedha ikamnyaka José Mourinho hata kwa miezi 6 tu