IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Ulikuwa bar ipi hadi ukaandika?????????? Au pep umemjua liniHakuna fact hapa ni porojo tuu.. soka la sasa ni pesa.. usiposajili unategemea nini?? alichofanya José .. Guardiola hajafika hata nusu!.. anaebisha leta fact
Any updates?Updates : Man U 0 - 2 Newcastle United
Me sio shabiki masantojo kama wewe sisi tunaendaga na fact tuu ..wewe eti alivyoipa City kombe ndo nadhani umemjulia hapo pole sanaaa... José abaki otUlikuwa bar ipi hadi ukaandika?????????? Au pep umemjua lini
Pep unajua ana overall trophies ngapi????????Me sio shabiki masantojo kama wewe sisi tunaendaga na fact tuu ..wewe eti alivyoipa City kombe ndo nadhani umemjulia hapo pole sanaaa... José abaki ot
Hahaha we jamaa sibishani tena na zoba kama wewe!!.. Kumbe hujui kitu??.. nyamaza tuu...Pep unajua ana overall trophies ngapi????????
Bahatisha ndulute .Any updates?View attachment 889121
Hela za usajili lazima wampe, bila star mweusi hakutokalika. Kwanza umesikia mshahara wake?Sasa kaingia Totenham tuone kama bila fungu la mastaa wakubwa atafanya kitu
Sasa kaingia Totenham tuone kama bila fungu la mastaa wakubwa atafanya kitu
sasa tunafanyaje sasa ?Bila Mourinho Ligi hainogi bhana , mpira ni amsha amsha , makocha wengine hawana amsha amsha kabisa , wamekaa tu kama makondoo, ligi Inakuwa imepooa, na pia inakuwa ligi ya kichoko kweli, japo jamaa hajui mpira Ila namkubali saaana , ana create tension na kumtia adui hasira , game inakuwa hot Sana, aliichangamsha akili ya Ferguson, akaenda akawazindua Italy alaf akawaamsha Spain , uwepo wake kwenye ligi ni mhimu , vituo vya television vinampenda Sana , ukitafuta wacheza gambling wakubwa Duniani basi huyo jamaa anaongoza, fundi wa kuotea na majigambo.
Kocha bora aliebora kwako ambae haitaji pesa kuweka nguvu sawa ashinde mataji?sasa tunafanyaje sasa ?
Kocha tengeneza wachezaji , angalia Man City kuna mchezaji gani bora sana pale , lakini angalia timu yao ilivyoKocha bora aliebora kwako ambae haitaji pesa kuweka nguvu sawa ashinde mataji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Pep ilighalimu kiasi gan cha pesa kutengeneza kikosi chake?Kocha tengeneza wachezaji , angalia Man City kuna mchezaji gani bora sana pale , lakini angalia timu yao ilivyo