Bila Mourinho Ligi hainogi bhana , mpira ni amsha amsha , makocha wengine hawana amsha amsha kabisa , wamekaa tu kama makondoo, ligi Inakuwa imepooa, na pia inakuwa ligi ya kichoko kweli, japo jamaa hajui mpira Ila namkubali saaana , ana create tension na kumtia adui hasira , game inakuwa hot Sana, aliichangamsha akili ya Ferguson, akaenda akawazindua Italy alaf akawaamsha Spain , uwepo wake kwenye ligi ni mhimu , vituo vya television vinampenda Sana , ukitafuta wacheza gambling wakubwa Duniani basi huyo jamaa anaongoza, fundi wa kuotea na majigambo.