Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #201
Alimnunua nani na nani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimnunua nani na nani ?
Morinho achatimuliwa leoAlimnunua nani na nani ?
Inamaana hajanunua watu kabisa?Alimnunua nani na nani ?
ni wachezaji wa kawaida sanaInamaana hajanunua watu kabisa?
Je unadhani bei alizotoa pamoja na kuwa ghali wachezaji aliowapata walikuwa bora kiasi hicho , Guardiola aweza kuichukua hata Burnley na wachezaji hao hao na ikawa bingwa
Sasa kama ni walikuwa ni wakawaida kwanini alipie fedha zote hizo.Je unadhani bei alizotoa pamoja na kuwa ghali wachezaji aliowapata walikuwa bora kiasi hicho , Guardiola aweza kuichukua hata Burnley na wachezaji hao hao na ikawa bingwa
Wapanga bei huwa wanaangalia kiherehere cha mnunuziSasa kama ni walikuwa ni wakawaida kwanini alipie fedha zote hizo.
Mfano Mendy kama sijakosea Euro 50m
Si angemchukua mchezaji mmoja pale Burnley kwa Robo ya hiyo hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee Man city wanatengeneza wachezaji?Kocha tengeneza wachezaji , angalia Man City kuna mchezaji gani bora sana pale , lakini angalia timu yao ilivyo
Wewe utaalamu wako wa mpira umesomea chuo kipi? Na je ushawahi kufundisha timu zipi?Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.
Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?View attachment 850095
angalia wachezaji alionunua , aliwatengeneza mwenye , sikusema alianzisha academy , Price doesnt matter , kwani kuna wa kiwango cha messi au ronaldo pale ?Aisee Man city wanatengeneza wachezaji?
Kuanzia 2016 Guardiola Ametumia Euro Milioni 500 kusajili mabeki tu, nitajie timu moja tu unayoijua wewe iliotumia kiasi Hicho.
Huyu mjanja mjanja tuNimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.
Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?View attachment 850095
Hapana Aisee, Hebu Angalia hii list na walipotoka unless wewe sio mtu wa mpira.angalia wachezaji alionunua , aliwatengeneza mwenye , sikusema alianzisha academy , Price doesnt matter , kwani kuna wa kiwango cha messi au ronaldo pale ?
Biashara ya wachezaji yategemea na mawakala na wanunuziHapana Aisee, Hebu Angalia hii list na walipotoka unless wewe sio mtu wa mpira.
1. Kyle walker Katoka Spurs, alikuwa Jembe balaa
2. Danilo Katoka Real madrid
3. Cancelo Katoka Juventus
4.mendy Monaco ya kina Mbape mpaka nusu fainali champions league
5.John stone nae Jembe la Everton
6. Ruben Dias nae Benefica
7. Otamendi Valencia
8.laporte Athletic Bilbao
Hao wote mabeki tu na bado kawakuta Kina Company, mangala, na wengineo.
Ili uelewe zaidi
-miaka 27 Ya Fergie Man U katumia pound milioni 700
-Guardiola misimu 5 katumia pound milioni 900
Ndani ya miaka 5 ya Guardiola amepita makocha wote kutumia Hela nyingi, kushinda Kina Fergie, Wenger, etc ambao wapo muda mrefu kweli Epl.
Ni Kocha mzuri sana na ana Roho, mikakati ya ushindi tatizo ni wachezaji na uongozi wa team anazokutana nazo, wachezaji ni wavivu, na wana viburi, hawajitumi, uongozi umejaa siasa na majungu. yeye anachotaka ni Kazi na matokeo mazuri. Akipata team aachiwe awe na uhuru wa kufanya maamuzi, team hio itafankiwa sana.Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.
Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?View attachment 850095
MOU kabeba Uefa na Porto, Mara ya mwisho kwa timu ndogo nje ya ligi Tano bora kubeba Uefa ni 1994 Ajax alipobeba, Miaka hii ishirini iliopita mabinhwa wote wa Uefa ni timu Kubwa, Madrid, Barca, Bayern etc.Ni Kocha mzuri sana na ana Roho, mikakati ya ushindi tatizo ni wachezaji na uongozi wa team anazokutana nazo, wachezaji ni wavivu, na wana viburi, hawajitumi, uongozi umejaa siasa na majungu. yeye anachotaka ni Kazi na matokeo mazuri. Akipata team aachiwe awe na uhuru wa kufanya maamuzi, team hio itafankiwa sana.
Unafuatilia soka kweli wewe.....sidhani
Wanamchukulia poa jini lile....MOU kabeba Uefa na Porto, Mara ya mwisho kwa timu ndogo nje ya ligi Tano bora kubeba Uefa ni 1994 Ajax alipobeba, Miaka hii ishirini iliopita mabinhwa wote wa Uefa ni timu Kubwa, Madrid, Barca, Bayern etc.
Porto hawana budget kubwa, hawana wachezaji wazuri, lakini ni mbinu za MOU ziliwapa kombe,
Mara ya mwisho Inter kubeba UCL ni 1965 na MOU pia kawapa na wachezaji wake kina Diego Millito, MOU kawajaza sumu wameperform 200% ya uwezo wao alipoondoka na wao wakarudi kuwa wachezaji wa kawaida.
MOU akipewa authority 100% na kuwa juu ya wachezaji matokeo analeta.
Mbali na swala la pesa pia Pep hutembelea timu ambazo zilikuwa moto sana kimafanikio ndipo hushuka hapo na rundo lake la pesa kisha kujificha kwenye kichaka cha pasi nyingi ili kuonekana kocha mzuri.Unafuatilia soka kweli wewe.....sidhani
Pep aliuza kikosi kizima na akasajili kikosi kizima sasa piga hesabu alitumia kiasi gani na kila dirisha kubwa anasajili