Jose Mourinho ni kocha mbovu anayebebwa na pesa za usajili

Inamaana hajanunua watu kabisa?
Screenshot_20210419-151450.jpg

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20210419-151450.jpg
    Screenshot_20210419-151450.jpg
    68.3 KB · Views: 1
Je unadhani bei alizotoa pamoja na kuwa ghali wachezaji aliowapata walikuwa bora kiasi hicho , Guardiola aweza kuichukua hata Burnley na wachezaji hao hao na ikawa bingwa
Sasa kama ni walikuwa ni wakawaida kwanini alipie fedha zote hizo.

Mfano Mendy kama sijakosea Euro 50m

Si angemchukua mchezaji mmoja pale Burnley kwa Robo ya hiyo hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apumzike tu huyu mzee sasa, hii inaonesha pesa sio kila kitu kwenye mpira kina Guardiola wapewe heshima zao, unaweza kuwa na pesa kama huna mbinu za ziada uwanjani utapigwa tu.
 
Kocha tengeneza wachezaji , angalia Man City kuna mchezaji gani bora sana pale , lakini angalia timu yao ilivyo
Aisee Man city wanatengeneza wachezaji?

Kuanzia 2016 Guardiola Ametumia Euro Milioni 500 kusajili mabeki tu, nitajie timu moja tu unayoijua wewe iliotumia kiasi Hicho.
 
Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.

Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?View attachment 850095
Wewe utaalamu wako wa mpira umesomea chuo kipi? Na je ushawahi kufundisha timu zipi?
 
Aisee Man city wanatengeneza wachezaji?

Kuanzia 2016 Guardiola Ametumia Euro Milioni 500 kusajili mabeki tu, nitajie timu moja tu unayoijua wewe iliotumia kiasi Hicho.
angalia wachezaji alionunua , aliwatengeneza mwenye , sikusema alianzisha academy , Price doesnt matter , kwani kuna wa kiwango cha messi au ronaldo pale ?
 
Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.

Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?View attachment 850095
Huyu mjanja mjanja tu
 
angalia wachezaji alionunua , aliwatengeneza mwenye , sikusema alianzisha academy , Price doesnt matter , kwani kuna wa kiwango cha messi au ronaldo pale ?
Hapana Aisee, Hebu Angalia hii list na walipotoka unless wewe sio mtu wa mpira.
1. Kyle walker Katoka Spurs, alikuwa Jembe balaa
2. Danilo Katoka Real madrid
3. Cancelo Katoka Juventus
4.mendy Monaco ya kina Mbape mpaka nusu fainali champions league
5.John stone nae Jembe la Everton
6. Ruben Dias nae Benefica
7. Otamendi Valencia
8.laporte Athletic Bilbao

Hao wote mabeki tu na bado kawakuta Kina Company, mangala, na wengineo.

Ili uelewe zaidi
-miaka 27 Ya Fergie Man U katumia pound milioni 700
-Guardiola misimu 5 katumia pound milioni 900

Ndani ya miaka 5 ya Guardiola amepita makocha wote kutumia Hela nyingi, kushinda Kina Fergie, Wenger, etc ambao wapo muda mrefu kweli Epl.
 
Biashara ya wachezaji yategemea na mawakala na wanunuzi
 
Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.

Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?View attachment 850095
Ni Kocha mzuri sana na ana Roho, mikakati ya ushindi tatizo ni wachezaji na uongozi wa team anazokutana nazo, wachezaji ni wavivu, na wana viburi, hawajitumi, uongozi umejaa siasa na majungu. yeye anachotaka ni Kazi na matokeo mazuri. Akipata team aachiwe awe na uhuru wa kufanya maamuzi, team hio itafankiwa sana.
 
MOU kabeba Uefa na Porto, Mara ya mwisho kwa timu ndogo nje ya ligi Tano bora kubeba Uefa ni 1994 Ajax alipobeba, Miaka hii ishirini iliopita mabinhwa wote wa Uefa ni timu Kubwa, Madrid, Barca, Bayern etc.

Porto hawana budget kubwa, hawana wachezaji wazuri, lakini ni mbinu za MOU ziliwapa kombe,

Mara ya mwisho Inter kubeba UCL ni 1965 na MOU pia kawapa na wachezaji wake kina Diego Millito, MOU kawajaza sumu wameperform 200% ya uwezo wao alipoondoka na wao wakarudi kuwa wachezaji wa kawaida.

MOU akipewa authority 100% na kuwa juu ya wachezaji matokeo analeta.
 
Wanamchukulia poa jini lile....
 
Unafuatilia soka kweli wewe.....sidhani

Pep aliuza kikosi kizima na akasajili kikosi kizima sasa piga hesabu alitumia kiasi gani na kila dirisha kubwa anasajili
Mbali na swala la pesa pia Pep hutembelea timu ambazo zilikuwa moto sana kimafanikio ndipo hushuka hapo na rundo lake la pesa kisha kujificha kwenye kichaka cha pasi nyingi ili kuonekana kocha mzuri.

Mfano:

Alipoenda Barcelona ilikuwa ya moto chini ya kocha Rijkard ikiwa imetoka kutwa kombe la UEFA 2006 ikiwa na Samuel Eto'o na Ronaldinho.

Bayern Munich aliikuta ikiwa moto/bingwa mtetezi wa UEFA tena ilikuwa vizuri sana kuliko hata alipoichukua, alipoifundisha na kuiacha.

Man City aliikuta ikiwa imetoka kuchukua ubingwa wa EPL na kufika nusu fainali ya UEFA, hapo kashiriki nayo UEFA zaidi ya mara 4 zote akiishia robo fainali tu hadi alipofanikiwa hivi sasa kuitoa B.Dortmund.

Pep si kocha bila pesa na hana CV za ukocha bora kama akina Mourinho, Ancelloti & Zizou kiufundishaji na kimafanikio.
 
Back
Top Bottom