Hii mpya kabisa perez anasema lazima fulani acheze kaaaa nnachojua mm yy huwa anasajili lakin hashinikiz mtu achezeHata kama wamewanunua kwa bilioni 6, nimekwambia RM model of business. To them, the names Matter....
Na ndio maana wanakorofishana na bosi.... President anakwambia LAZIMA KAKA ACHEZE MECHI YA LEO.... wakati ushaona perfomance yake mbaya... unafikiri hapo pana kukaa kocha?
Soma wakati ndugu
Hata mifano maskini huelewi 😀Acha maswali ya ajabu msimu ndo kwanza unaanza mashindano yapo manne fa,carabao,ligi kuu na uefa unaongeleaje suala la kucheza kwa scot kwenye mech 3? Et kocha mjuzi unaujua mpira wewe hapo nakupongeza
Ligi imeanza juz wachezaji wapo 23 unataka wote waingie? Ndo kwanza mech ya tatu et mtaalam wa mpira upo hivyo? Kila mech na plam yake dogo alicheza mech zote kubwa raound ya pili unataka kocha afanyaje? Had pogba alikaa bench kwa scott au hujuiHata mifano maskini huelewi 😀
Kwani nimesema Perez? wewe umetaka kujua kwanini Madrid makocha wanatimka ovyo... nimekwambia kuwa kuna conflicts of Interest between The president and the amanager.Hii mpya kabisa perez anasema lazima fulani acheze kaaaa nnachojua mm yy huwa anasajili lakin hashinikiz mtu acheze
Hoja yako ni sahihi brother, kuhusu Lukaku ni mchezaji wa kulishwa. Pogba ni mchezaji wa kuachwa azunguke na mpira. Mourinho huo mpira hana wa kuwafanya wachezaji wacheze hivyo. Wachezaji wanaonekana hovyo kutokana na mfumo wa uchezeshaji wa Mourinho.SAF kapigwa sita lakini hajabebewa bango. Unajua kwanini?
Unaujua mpira lakini ndugu yangu? Tunatambua kuwa tunapitia kipindi cha mpito ambacho kitakuwa kigumu. Kwa taarifa yako fans wanaexpections na wamiliki wanakuwa na expectations. Hakuna shabiki ambae aliamini MOYES atachukua ubingwa, kila mtu alijua kuwa kipindi kigumu kimeanza.
Tatizo ambalo wewe hulijui, Tumemnunua PGBA for 80M pounds. for what perfomance so far? hata wewe ukienda Hotel ukalipa milioni moja kwa siku, lakini unakuta mhudumu resta anakupita hachukui oda yako lazima utakuwa furious hata kama hotel nzuri vipi. Tumemnunua Lukaku kwa mapesa tele, for what? Wakati MUFC inaspend 200M kununua wachezaji wawili, Wenzetu wanaspend 200m kununua watano na wote ni wazuri kuliko tuliowanunua sie! sasa what is the point of spending so much money for players that dont perform as they are supposed to?
Yah, tangu MOU ajiunga na MU ndo kwanza amecheza mechi ya tatu....Ligi imeanza juz wachezaji wapo 23 unataka wote waingie? Ndo kwanza mech ya tatu et mtaalam wa mpira upo hivyo? Kila mech na plam yake dogo alicheza mech zote kubwa raound ya pili unataka kocha afanyaje? Had pogba alikaa bench kwa scott au hujui
Atleast unaelewa nini naongea... Kwamba tatizo ni MOU na how he is spending the money... Woodward anatakiwa amwambia enough is enough, show us the fruits of what you have bought already!Hoja yako ni sahihi brother, kuhusu Lukaku ni mchezaji wa kulishwa. Pogba ni mchezaji wa kuachwa azunguke na mpira. Mourinho huo mpira hana wa kuwafanya wachezaji wacheze hivyo. Wachezaji wanaonekana hovyo kutokana na mfumo wa uchezeshaji wa Mourinho.
Scott alichukuliwa baada ya herrera kwa majeruh akapandishwa sijui kama kuna post nimekwambia pogba aliwekwa bench ili scott apate game time soma post vizur nimekwambia kuna muda had pogba alikuwa anakaa bench scott anacheza hizo game time unazungimzia wewe ni zipi kama alikuwa akicheza?Yah, tangu MOU ajiunga na MU ndo kwanza amecheza mechi ya tatu....
Hivi unafikiri sababu ya POGBA kuwekwa bench ni kwamba Scott apewe game time? 😀 😀 😀 duh!
Na MOU atashindwa hana ujanja wa kuonesha matunda si yule kocha wa kuona nafasi na kuona uwezo wa mchezaji uko wapi na autumie vipi kwa maana awaache wakunjuke kwa nafasi zao. Mbinu anazotumia tayari zimeshapitwa na wakati.Atleast unaelewa nini naongea... Kwamba tatizo ni MOU na how he is spending the money... Woodward anatakiwa amwambia enough is enough, show us the fruits of what you have bought already!
Nafikiri umesahau matukio ya Perez kukwaruzana na team Managers.Hii mpya kabisa perez anasema lazima fulani acheze kaaaa nnachojua mm yy huwa anasajili lakin hashinikiz mtu acheze
Au kuhusu issue ya Benzema, amesahau Perez alimuambiaje MOU?Kwani nimesema Perez? wewe umetaka kujua kwanini Madrid makocha wanatimka ovyo... nimekwambia kuwa kuna conflicts of Interest between The president and the amanager.
A simple example ni huyo manager unayemtetea... Ulishawahi kujua kuwa Mou alimdrop Shevy wakati alikuwa akiperform vizur?
Hizo ni bei za miaka hiyo...Mbona unaongea upupu....
Nikuulize machache tu;
Giggs kanunuliwa kiasi gani na Scholes kanunuliwa kiasi gani?
Kwani nyuma hakuna Baily, Lindelof, Luke shaw, Jones, Smalling De Gea......?
Rooney tumenunua kwa 37M tu. Na ameperform vizuri sana... unamfananisha Lukaku ambae tumespend 75M?
Unajua unapozidi kuandika, ndipo unapoonesha umbumbu wako.....
Scott alichukuliwa baada ya herrera kwa majeruh akapandishwa sijui kama kuna post nimekwambia pogba aliwekwa bench ili scott apate game time soma post vizur nimekwambia kuna muda had pogba alikuwa anakaa bench scott anacheza hizo game time unazungimzia wewe ni zipi kama alikuwa akicheza?
Anaua vipaji.... ndio maana Woodward nae lazima agome kuendelea kutoa hela tu mana ukiitizama perfomance ya Pogba na bei alonunuliwa, it doesnt make sense on the field, but it make sense on commercial interests.Na MOU atashindwa hana ujanja wa kuonesha matunda si yule kocha wa kuona nafasi na kuona uwezo wa mchezaji uko wapi na autumie vipi kwa maana awaache wakunjuke kwa nafasi zao. Mbinu anazotumia tayari zimeshapitwa na wakati.
Matunda ya Rooney sawa na ya Lukaku?Hizo ni bei za miaka hiyo...
Hiyo 37m ni ya miaka ile, kwa umri na uwezo wa rooney kipindi kile leo angekua 150mil, mara mbili ya bei ya lukaku...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mara yake ya kwanza kusikia kuwa President ndio anataka mchezaji, halafu anataka kujifanya mpira anaufatilia zamani....Au kuhusu issue ya Benzema, amesahau Perez alimuambiaje MOU?
Safari bado ndefu mkuu ndo kwanza mechi 3 zimechezwa weka akiba ya manenoSaiz manfongo hawana usemi kabisa na nafasi yao ya 13
Aiseee !!!!Nakuuliza, POGBA alikuwa bench ili Scott apate game time? au Kulikuwa na quarrels kati yake na MOU ndio akaamua kumueka bench?
Hivi Martial unaweza kusema kuwa anapewa enough game time? Unamchezesha leo 40 minutes, akisha mechi nne mbele zinapita hajacheza unakuja kusema "Lakini nimempa Martial dakika 40 hajafanya kitu.." wakati huo huo kuna Lukaku ana waste a hell lot of opportunities! Lukaku has been given enough game time to improve, lakini Martial not!