SAF kapigwa sita lakini hajabebewa bango. Unajua kwanini?
Unaujua mpira lakini ndugu yangu? Tunatambua kuwa tunapitia kipindi cha mpito ambacho kitakuwa kigumu. Kwa taarifa yako fans wanaexpections na wamiliki wanakuwa na expectations. Hakuna shabiki ambae aliamini MOYES atachukua ubingwa, kila mtu alijua kuwa kipindi kigumu kimeanza.
Tatizo ambalo wewe hulijui, Tumemnunua PGBA for 80M pounds. for what perfomance so far? hata wewe ukienda Hotel ukalipa milioni moja kwa siku, lakini unakuta mhudumu resta anakupita hachukui oda yako lazima utakuwa furious hata kama hotel nzuri vipi. Tumemnunua Lukaku kwa mapesa tele, for what? Wakati MUFC inaspend 200M kununua wachezaji wawili, Wenzetu wanaspend 200m kununua watano na wote ni wazuri kuliko tuliowanunua sie! sasa what is the point of spending so much money for players that dont perform as they are supposed to?