Jose Mourinho ni kocha mbovu anayebebwa na pesa za usajili

Jose Mourinho ni kocha mbovu anayebebwa na pesa za usajili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.

Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?
Mou _arrow_down_️. Zizou _arrow_up_️____ _thinking_.jpg
 
Attachments

  • Mou _arrow_down_️. Zizou _arrow_up_️____ _thinking_.jpg
    Mou _arrow_down_️. Zizou _arrow_up_️____ _thinking_.jpg
    69.3 KB · Views: 72
Munapenda tu kumuandama MOU... Ila nataka apumzike aiwache MUFC, attitude yake, sio attitude inayotakiwa kwenye timu kama MUFC! kazi ya kufundisha MU si masikhara, unaweza ukawa una miaka 30 baada ya miezi sita una mvi kuliko kizee wa miaka 70... MAYAI, VAN GIRL na MOUNINHO wote wamezeeka kabla ya umri haswa wa kuitwa kizee.
 
unapendekeza nani achukue hii kazi ?
 
unapendekeza nani achukue hii kazi ?
Najua watu wengi sana macho yao yapo kwa Zidane. Lakini na yeye pia sio kocha mzuri wa kupewa kikosi kibovu akakitengeza. Zidane upande fulani ni kama Mourinho, give hi m the players he wants na sio umwambie aanze kumwagilia maji madogo wa academy. Tofauti ya Zidane na Mou, ni kwamba Z yeye wachezaji wana uhuru wa kucheza watakavyo as long as wanashirikiana na kutafuta ushindani wakati mourinho anataka ucheze anavotaka yeye hata kama ikibidi lukaku akae kipa lazima ukubali. Mou hata kama upo chini ya goli bado kupiga shuti ushinde yeye kama anataka urudishe mpira kwa jones basi uurudishe. ndio maana anakosana na wachezaji.

Tunaweza kwenda kwa pochettino, namuona kuwa ni mtu ambae kama anamwagiwa hela kama alizopewa Mouninho basi ataifikisha timu mbali. Au tunaweza kwenda kwa Simione nae pia ni kocha ambae ana uwezo, tatizo ni resources kwake ni limited kama pochetino.

MU ili panic baada ya Pep kujiunga na MC, ndio maana wakamtimua LVG na kumueka MO.

Sikatai MO anarekodi nzuri, enzi zake Chelsea ukifika Stamford unajitaarisha kuzuia usifungwe mengi, mana pale darajani hata SAF aliteswa sana na MOU, ila huyu wa sasa nawaambia watu kila siku, sio yule wa enzi zile damu inamchemka.
 
Simeone na Pochetino safi kabisa ! lakini je wako tayari kuja Man U ?
 
Hakuna kitu kibaya kutendea akili, nafsi na roho kama ku judge jambo kwa hisia, tamaa, hulka, silka, chuki na wivu.

Ina maana mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Man City?

Mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Liverpool?

Kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Chelsea?

Ina maana mnataka kusema mmekwisha sahau Mou wa Porto? Porto kulikuwa na wachezaji gani?

Mmekwisha sahau Mou wa Chelsea? Aliyeleta Chelsea toka uvunguni hadi kwenye timu ya kuchukua mikoba?

Mmekwisha sahau Mou wa Inter Millan aliyechukua treble huku akiwatoa Barca wakiwa kwenye ubora wao wa karne?

Mmekwisha sahau Mou wa Man U yule aliyekuja msimu wa kwanza kasajili wachezaji watatu tu kachukua Europa, Community Shield, n.k. msimu wa kwanza?

Mmekwisha sahau Mou yule msimu uliopita alipeleka Man U nafasi ya pili ligi kuu, nafasi ambayo Man U haijawahi kufika tangu Sir Alex astaafu?

Mmekwisha sahau kuwa Klop, Pochetino wote walikuwa England muda tu lkn hadi sasa hawana hata bakuli sembuse kombe?

Mmekwisha sahau kwamba msimu uliopita kama sio Man city walio kwenye ubora mkubwa basi kombe la ligi likeenda Man U? Akina Klop, Conte na Pochetino walikuwa wapi?

Ina maana mmekwisha sahau namna Mou alivyokuwa analialia kuhusu kupatiwa walau mchezaji mmoja tu beki?

Ina maana hamuoni namna Man City, Liverpool na Chelsea wanavyofanya manunuzi?

Ina maana mmekwisha sahau kauli ya Ed Woodward kwamba matokeo ya Man U uwanjani hayana athari zozote za kibiashara (na hiki ndicho kilichofanya pasiwepo usajili wa maana msimu huu)

Makosa yanayofanywa na mabeki wa Man U ni ya Mou?

Ok. Tuseme hayo yamepita kwenu hayana maana tena. Sasa, kama mshabiki wa Soka wewe unadhani ukipewa hicho kikosi cha Man U cha sasa utafika nacho wapi????

Kwa waelewa wa soka, mtakubalina nami kuwa Ed Woodward ndio chanzo cha ubovu wa Man U. Lazima alipokuwa Gill David na Sir Alex mambo yalikuwa yanaenda vizuri kabisa.

Na kwa kuona hilo ndio maana wanamtafuta Sporting Director ambaye yeye atakuwa anajihusisha na usajili tu na Ed Woodward kujihusisha na masuala ya commercial ya club maana anashindwa kumudu nafasi zote mbili kwa mpigo.

Na ndio maana fans wa Man U mechi ya juzi waliwa pigia makofi mengi sana wachezaji pamoja na Mou japo game walipoteza. Hii ni kwa sababu wanaelewa wazi wapi tatizo la timu lipo.

Na kwa wafuatiliaji wa soka la ushindani, Man U kumuondoa Mou pale watakuwa na options chache sana za kupata makocha bora.

Mou bado ni kocha bora sana. Man U wanashindwa kukubaliana na wakati, kwamba soka la leo ni pesa. Beki ghali zaidi duniani yupo Liverpool, Golikipa ghali zaidi duniani yupo Liverpool na Chelsea, n.k. n.k

Punguzeni wivu na chuki binafsi.
 
Back
Top Bottom