Jose Mourinho ni kocha mbovu anayebebwa na pesa za usajili

Msee... Kafukuzwa Ancelotti aliechukua UEFA, you think they care if you win titles or not?

BTW, problem ya madrid, sio kocha anejenga timu, ni presida!!! na ndio maana hawadumu na kocha... Muulize MOU na abramovich saga la Shevchenko....
Kama biashara inafanyika kwa nn ufukuze kocha?
 
Unajenga timu ambayo ina key players tayar acha utani

Kdb
Aguero
Fernandinho
Silva
Company

Sasa basi pep kakuta timu ambayo ipo ktk msingi yake na falsafa yake unajua moyes na van gal walichofanya? Hiv unafikir tatizo la timu limeanzia kwa mourinho?
Kwaio unasema kuwa Mour wachezaji wote alonunua wale hawana msaada wa maana MAN CITY? kumbuka KDB si alotolewa na MOU? Unakumbuka salah akatolewa na MOU? saivi unaona wanavotamba?

Nani kasema tatizo la timu limeanza kwa MOU? MOU anayotimu msimu wa tatu huu tena nambie what has changed in terms of perfomance?
 
Kdb katolewa na mourinho chelsea ilikuwa na watu gani? Hata sisi tuliwah kumwacha tevez na forlan wa sababu gani

Unabadili vipi perfomanc wakat usajili uliofanya haukujibu? Madrid wamesajili mara ngap wakafeli lakin hawakukata tamaa?
 
Kama biashara inafanyika kwa nn ufukuze kocha?
Nikikwambia mpira hujui ndio hichi nnachozungumza.

Manager unapompa muachie afanye kazi yake. Hakuna manager ambae yupo tayari kuharibu sifa na kuonekana manager mbovu.

Kunapokuwa na conflict of interests between Manager na Club owners, hawezi kudumu lazima atoke. We jamaa sijui vipi....

Ni kama wewe umepeleka gari lako bovu gereji kutengezewa, hujui kutengeza, sasa fundi anaanza kutengeza unaanza kumwambia sivyo, anakuonesha kabisa kama HID blubl ilizoweka si nzuri weka za kawaida, wewe unambishia na kusema eti unaiuzia sura gari ikiwa na taa nyeupe, unafikiri huyo fundi atapoteza mda wake?
 
Munapenda tu kumuandama MOU... Ila nataka apumzike aiwache MUFC, attitude yake, sio attitude inayotakiwa kwenye timu kama MUFC! kazi ya kufundisha MU si masikhara, unaweza ukawa una miaka 30 baada ya miezi sita una mvi kuliko kizee wa miaka 70... MAYAI, VAN GIRL na MOUNINHO wote wamezeeka kabla ya umri haswa wa kuitwa kizee.
Duh! Bro Van Girl tena?? Si mbaya ni typing error.

Mimi nina imani laiti Van Gal angekuwa na hela za usajili kama Mourinho bahati aliyokuwa nayo, Man U ingelikuwa mbali. Mourinho mbinu zake zimeshapitwa na wakati halafu jeuri.
 
Kdb katolewa na mourinho chelsea ilikuwa na watu gani? Hata sisi tuliwah kumwacha tevez na forlan wa sababu gani

Unabadili vipi perfomanc wakat usajili uliofanya haukujibu? Madrid wamesajili mara ngap wakafeli lakin hawakukata tamaa?
Watu gani waliokuiwepo Chelsea? MU tuna Luke shaw, tuna Scott mctominay, wote hawapewi enough game time kwa sababu ipi?

Sasa kama umefanya usajili haukujibu, huoni kama kuna matatizo hapo? kwanini usisolve?

RM walikuwa wanasajili lakini hawafanikiwi wakiwa wanapata shida kwa barca, Lakini RM was competing for titles, what are we competing for? Nani anatishwa na MUFC saiv? 😀
 
Nikikwambia mpira hujui ndio hichi nnachozungumza.

Manager unapompa muachie afanye kazi yake. Hakuna manager ambae yupo tayari kuharibu sifa na kuonekana manager mbovu.

Kunapokuwa na conflict of interests between Manager na Club owners, hawezi kudumu lazima atoke. We jamaa sijui vipi....

Ni kama wewe umepeleka gari lako bovu gereji kutengezewa, hujui kutengeza, sasa fundi anaanza kutengeza unaanza kumwambia sivyo, anakuonesha kabisa kama HID blubl ilizoweka si nzuri weka za kawaida, wewe unambishia na kusema eti unaiuzia sura gari ikiwa na taa nyeupe, unafikiri huyo fundi atapoteza mda wake?
Unachoongea hapa hamna kitu kabisa wenzio wananunua wakina christiano ronaldo wewe unasema ni biashara unauliza kama ni baishara kocha kwa nini afukuzwe unaleta habar za magar wakat umepata faida ya kuuza jez lengo lako limetimia kisha unaanza mpira huujui unazunguka kama tairi unachoongea pumba tu.
 
Duh! Bro Van Girl tena?? Si mbaya ni typing error.

Mimi nina imani laiti Van Gal angekuwa na hela za usajili kama Mourinho bahati aliyokuwa nayo, Man U ingelikuwa mbali. Mourinho mbinu zake zimeshapitwa na wakati halafu jeuri.
Sijaksoea mkuu, nilikusudia kuandika ivo mana ndivo tulivyozoea kuwa mocked saiv. Hata mimi naamini kama angeachiwa yeye basi angejenga timu nzuri tu.

Ndio maana kuna post yangu moja nkasema MUFC wamepanic baada ya Pep kuingia Citeh, wakamfukuza LVG wakaona wamueke MOU.... wamechemka sana....
 
Watu gani waliokuiwepo Chelsea? MU tuna Luke shaw, tuna Scott mctominay, wote hawapewi enough game time kwa sababu ipi?

Sasa kama umefanya usajili haukujibu, huoni kama kuna matatizo hapo? kwanini usisolve?

RM walikuwa wanasajili lakini hawafanikiwi wakiwa wanapata shida kwa barca, Lakini RM was competing for titles, what are we competing for? Nani anatishwa na MUFC saiv? 😀
Hahahahaha yani scott utegemee mapema hivyo kwa mpira sasa akupe matokeo bila watu wa kazi halafu unaniambia unaajua mpira inatia shaka sana scott bila watu wazoef ni sawa na kuweka nyama banda la mbwa

Kwa nini sir alex alimuomba scholes arudi kucheza alipostaafu wakat kulikuwa na andersom,cleverly na pogba?
 
Unachoongea hapa hamna kitu kabisa wenzio wananunua wakina christiano ronaldo wewe unasema ni biashara unauliza kama ni baishara kocha kwa nini afukuzwe unaleta habar za magar wakat umepata faida ya kuuza jez lengo lako limetimia kisha unaanza mpira huujui unazunguka kama tairi unachoongea pumba tu.
Ndio wenzetu wananunua akina cristiano ambao wanaperform uwanjani... sisi tunanunua akina Lukaku magunia ya sukari uwanjani... Justify 75m we spent on Lukaku basi?
 
Kaka madrid walilipa pesa ngapi? Aliperform?

Canavaro alinunuliwa kwa pesa ngap?
 
Hahahahaha yani scott utegemee mapema hivyo kwa mpira sasa akupe matokeo bila watu wa kazi halafu unaniambia unaajua mpira inatia shaka sana scott bilw watu wazoef ni sawa na kuweka nyama banda la mbwa

Kwa nini sir alex alimuomba scholes arudi kucheza alipostaafu wakat kulikuwa na andersom,cleverly na pogba?
Nakwambia ivi, kila ukiendelea kuandika huu upupu utajitia aibu... unajua maana ya Game time? kuna mahala nimekwambia Scot acheze 90 minutes each game? kuna mahala nimesema Luke acheze 90 minutes each match? Unajua kweli maana ya game time?
 
Sijaksoea mkuu, nilikusudia kuandika ivo mana ndivo tulivyozoea kuwa mocked saiv. Hata mimi naamini kama angeachiwa yeye basi angejenga timu nzuri tu.

Ndio maana kuna post yangu moja nkasema MUFC wamepanic baada ya Pep kuingia Citeh, wakamfukuza LVG wakaona wamueke MOU.... wamechemka sana....
Nimeipitia brother, ndiyo naanza kuusoma Uzi. Nipo page ya kwanza.
 
Nakwambia ivi, kila ukiendelea kuandika huu upupu utajitia aibu... unajua maana ya Game time? kuna mahala nimekwambia Scot acheze 90 minutes each game? kuna mahala nimesema Luke acheze 90 minutes each match? Unajua kweli maana ya game time?
Sasa wewe ndo unaongea upupu hivi scott kapandishwa na kocha gani? Hiv unachokiandika unakijua kweli kocha aliempa nafas hadi muda huu yupo ndani ya timu halafu unaliuza gem time weewee
 
Kaka madrid walilipa pesa ngapi? Aliperform?

Canavaro alinunuliwa kwa pesa ngap?
Hata kama wamewanunua kwa bilioni 6, nimekwambia RM model of business. To them, the names Matter....

Na ndio maana wanakorofishana na bosi.... President anakwambia LAZIMA KAKA ACHEZE MECHI YA LEO.... wakati ushaona perfomance yake mbaya... unafikiri hapo pana kukaa kocha?

Soma wakati ndugu
 
Sasa wewe ndo unaongea upupu hivi scott kapandishwa na kocha gani? Hiv unachokiandika unakijua kweli kocha aliempa nafas hadi muda huu yupo ndani ya timu halafu unaliuza gem time weewee
Nakuuliza unajua maana ya game time ndugu yangu?

Unaweza ukawa umempandisha juu wewe, akacheza mechi moja akafanya vizuri.. akisha msimu mzima ukamchezesha mechi tatu na zote anafanya vizuri, itakuwa umempa Enough game time?
 
Acha maswali ya ajabu msimu ndo kwanza unaanza mashindano yapo manne fa,carabao,ligi kuu na uefa unaongeleaje suala la kucheza kwa scot kwenye mech 3? Et kocha mjuzi unaujua mpira wewe hapo nakupongeza
 
Back
Top Bottom