Jose Mourinho ni kocha mbovu anayebebwa na pesa za usajili

Anaua vipaji.... ndio maana Woodward nae lazima agome kuendelea kutoa hela tu mana ukiitizama perfomance ya Pogba na bei alonunuliwa, it doesnt make sense on the field, but it make sense on commercial interests.

MUFC imechukua njia ya kuwa commercial success instead of football success. Trust me, wakiendelea na hio njia ya kudharau perfomance uwanjani, we are the next Liverpool in the league!

Uzuri Woodward nae kashaanza kuona joto la jiwe, kashasema, if the club is going in a free fall, MOU kibarua kinawaka moto!
Morinho anachezea sana hela ya watu , ule mshahara wa Alexis Sanchoka ni halali kweli ?
 
Hakuna kitu kibaya kutendea akili, nafsi na roho kama ku judge jambo kwa hisia, tamaa, hulka, silka, chuki na wivu.

Ina maana mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Man City?

Mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Liverpool?

Kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Chelsea?

Ina maana mnataka kusema mmekwisha sahau Mou wa Porto? Porto kulikuwa na wachezaji gani?

Mmekwisha sahau Mou wa Chelsea? Aliyeleta Chelsea toka uvunguni hadi kwenye timu ya kuchukua mikoba?

Mmekwisha sahau Mou wa Inter Millan aliyechukua treble huku akiwatoa Barca wakiwa kwenye ubora wao wa karne?

Mmekwisha sahau Mou wa Man U yule aliyekuja msimu wa kwanza kasajili wachezaji watatu tu kachukua Europa, Community Shield, n.k. msimu wa kwanza?

Mmekwisha sahau Mou yule msimu uliopita alipeleka Man U nafasi ya pili ligi kuu, nafasi ambayo Man U haijawahi kufika tangu Sir Alex astaafu?

Mmekwisha sahau kuwa Klop, Pochetino wote walikuwa England muda tu lkn hadi sasa hawana hata bakuli sembuse kombe?

Mmekwisha sahau kwamba msimu uliopita kama sio Man city walio kwenye ubora mkubwa basi kombe la ligi likeenda Man U? Akina Klop, Conte na Pochetino walikuwa wapi?

Ina maana mmekwisha sahau namna Mou alivyokuwa analialia kuhusu kupatiwa walau mchezaji mmoja tu beki?

Ina maana hamuoni namna Man City, Liverpool na Chelsea wanavyofanya manunuzi?

Ina maana mmekwisha sahau kauli ya Ed Woodward kwamba matokeo ya Man U uwanjani hayana athari zozote za kibiashara (na hiki ndicho kilichofanya pasiwepo usajili wa maana msimu huu)

Makosa yanayofanywa na mabeki wa Man U ni ya Mou?

Ok. Tuseme hayo yamepita kwenu hayana maana tena. Sasa, kama mshabiki wa Soka wewe unadhani ukipewa hicho kikosi cha Man U cha sasa utafika nacho wapi????

Kwa waelewa wa soka, mtakubalina nami kuwa Ed Woodward ndio chanzo cha ubovu wa Man U. Lazima alipokuwa Gill David na Sir Alex mambo yalikuwa yanaenda vizuri kabisa.

Na kwa kuona hilo ndio maana wanamtafuta Sporting Director ambaye yeye atakuwa anajihusisha na usajili tu na Ed Woodward kujihusisha na masuala ya commercial ya club maana anashindwa kumudu nafasi zote mbili kwa mpigo.

Na ndio maana fans wa Man U mechi ya juzi waliwa pigia makofi mengi sana wachezaji pamoja na Mou japo game walipoteza. Hii ni kwa sababu wanaelewa wazi wapi tatizo la timu lipo.

Na kwa wafuatiliaji wa soka la ushindani, Man U kumuondoa Mou pale watakuwa na options chache sana za kupata makocha bora.

Mou bado ni kocha bora sana. Man U wanashindwa kukubaliana na wakati, kwamba soka la leo ni pesa. Beki ghali zaidi duniani yupo Liverpool, Golikipa ghali zaidi duniani yupo Liverpool na Chelsea, n.k. n.k

Punguzeni wivu na chuki binafsi.
Uchambuzi wako ni mzuri sana.

ila Mou aondoke tuu man u.
 
Morinho anachezea sana hela ya watu , ule mshahara wa Alexis Sanchoka ni halali kweli ?
Yaani tumemnunua Sanchez na hela yake ya mshahara, ni kumuonesha PEP kuwa tunauwezo wa kuwashinda kwenye kununua wachezaji na kuwalipa.....

Msimu wa tatu huu, hakuna improvement MUFC ya chochote.... ndio vile vile kama msimu ulopita.

MOU akitaka abaki MUFC abadilishe mfumo wake wa uchezaji na kuishi na wachezaji na ajifunze kuwapa motivation.... EPL ya sasa sio ya Zamani!

Mi hanishughulishi akicheza defence, lakini mchezji wetu akishika mpira hajui afanye nini ndio kinanikereketa.... Yaani Juzi Pogba ametoa pasi kwa invisible man ivi ivi kiwepesi!!!!!

MOU pesa anaichezea haswa!
 
Hakuna kitu kibaya kutendea akili, nafsi na roho kama ku judge jambo kwa hisia, tamaa, hulka, silka, chuki na wivu.

Ina maana mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Man City?

Mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Liverpool?

Kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Chelsea?

Ina maana mnataka kusema mmekwisha sahau Mou wa Porto? Porto kulikuwa na wachezaji gani?

Mmekwisha sahau Mou wa Chelsea? Aliyeleta Chelsea toka uvunguni hadi kwenye timu ya kuchukua mikoba?

Mmekwisha sahau Mou wa Inter Millan aliyechukua treble huku akiwatoa Barca wakiwa kwenye ubora wao wa karne?

Mmekwisha sahau Mou wa Man U yule aliyekuja msimu wa kwanza kasajili wachezaji watatu tu kachukua Europa, Community Shield, n.k. msimu wa kwanza?

Mmekwisha sahau Mou yule msimu uliopita alipeleka Man U nafasi ya pili ligi kuu, nafasi ambayo Man U haijawahi kufika tangu Sir Alex astaafu?

Mmekwisha sahau kuwa Klop, Pochetino wote walikuwa England muda tu lkn hadi sasa hawana hata bakuli sembuse kombe?

Mmekwisha sahau kwamba msimu uliopita kama sio Man city walio kwenye ubora mkubwa basi kombe la ligi likeenda Man U? Akina Klop, Conte na Pochetino walikuwa wapi?

Ina maana mmekwisha sahau namna Mou alivyokuwa analialia kuhusu kupatiwa walau mchezaji mmoja tu beki?

Ina maana hamuoni namna Man City, Liverpool na Chelsea wanavyofanya manunuzi?

Ina maana mmekwisha sahau kauli ya Ed Woodward kwamba matokeo ya Man U uwanjani hayana athari zozote za kibiashara (na hiki ndicho kilichofanya pasiwepo usajili wa maana msimu huu)

Makosa yanayofanywa na mabeki wa Man U ni ya Mou?

Ok. Tuseme hayo yamepita kwenu hayana maana tena. Sasa, kama mshabiki wa Soka wewe unadhani ukipewa hicho kikosi cha Man U cha sasa utafika nacho wapi????

Kwa waelewa wa soka, mtakubalina nami kuwa Ed Woodward ndio chanzo cha ubovu wa Man U. Lazima alipokuwa Gill David na Sir Alex mambo yalikuwa yanaenda vizuri kabisa.

Na kwa kuona hilo ndio maana wanamtafuta Sporting Director ambaye yeye atakuwa anajihusisha na usajili tu na Ed Woodward kujihusisha na masuala ya commercial ya club maana anashindwa kumudu nafasi zote mbili kwa mpigo.

Na ndio maana fans wa Man U mechi ya juzi waliwa pigia makofi mengi sana wachezaji pamoja na Mou japo game walipoteza. Hii ni kwa sababu wanaelewa wazi wapi tatizo la timu lipo.

Na kwa wafuatiliaji wa soka la ushindani, Man U kumuondoa Mou pale watakuwa na options chache sana za kupata makocha bora.

Mou bado ni kocha bora sana. Man U wanashindwa kukubaliana na wakati, kwamba soka la leo ni pesa. Beki ghali zaidi duniani yupo Liverpool, Golikipa ghali zaidi duniani yupo Liverpool na Chelsea, n.k. n.k

Punguzeni wivu na chuki binafsi.
Wewe unajua mpira sana
MTOA MADA HAJUI MPIRA KABISA NA HILI NI TATIZO KUBWA SANA
 
Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.

Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?View attachment 850095
Naomba kuuliza tu kama hutojali

a) Kama fedha za usajili ndio zinambeba Jose, kule Porto alipewa mamilioni mangapi mpaka akafanikiwa kuchukua kombe la UCL? Inter Milan alipewa bilioni ngapi zikasababisha achukue UCL?

b) Pellegrin alipata mafanikio gani makubwa kupitia mamilioni aliyopewa na mwarabu wa Man City? Vipi kuhusu Unai Arsenal yeye alichukua kombe gani la maana ulaya baada ya kusaini mchezaji mmoja kwa fedha inayoweza kununua timu nzima ya Arsenal?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayelalamika kukosa hela ya kuingia sokoni ni Morinho mwenyewe .
 
Ana haki ya kulalamika

Kumbuka, yeye ndio kocha na anayajua mapungufu ya timu yake

Sasa anapoomba fedha ya Ku address tatizo kwenye timu yake, inakuwa kosa?

Amekuwa akitaka fedha anunue beki wa kati na winger lakini bahiri Glazer hayupo tayari kutoa hela (yeye anachoangalia ni mapato yanayomtajirisha yeye bila kuangalia furaha ya mashabiki)

Guardiola moja kati ya makocha bora duniani amepewa Tsh ngapi tangu awe kocha wa city? Zaidi ya milioni £ 350. Beki wa pembeni amenunua wawili, Mendy na Walker kila mmoja zaidi ya £ 50+ milioni (hapa naongelea beki wa pembeni, sio foward, ama kiungo ama beki wa kati)

Halafu baadae unataka aje ashindane na Pep, au Klop ambao wanapewa hela wanayotaka ili kujenga vikosi vyao. Kumbuka Klop amevunja rekodi ya usajili wa beki wa kati Van Dijk kwa zaidi ya £75 milion, akaja kuvunja rekodi ya kipa Alison kwa zaidi ya £ milioni 60, hii ilikuwa kabla Chelsea nao hawajaivunja rekodi hiyo ya kipa.

Mourinho ana haki ya kutaka hela zaidi. Kama wamiliki (kupitia Ed Woodward) wanataka mafanikio ya Man Utd ya kisoka watoe hela.

Utake, usitake mpira wa sasa ni hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jibu hili, sijasema nimekudharau

Sent using Jamii Forums mobile app
huwa sipendi malumbano yasiyo na tija , sijawahi kuogopa kudharauliwa na asiyenifahamu , kama wewe ni mtu wa soka unaelewa kwamba kila mwezi epl inatoa kocha bora ambaye kiwango chake baada ya matokeo ya mechi za mwezi husika kimewazidi wengine , kwa hiyo kumbe kila kipindi fulani katika soka kunakuwa na aliye wazidi wenzake kiwango bila kujali makombe waliyobeba miaka 20 iliyopita.

Hata Moore ambaye ni kocha wa WBA iliyoshuka daraja alikuwa kocha bora mwishoni kabisa mwa msimu baada ya matokeo mazuri ya timu yake kwa mwezi ule.

NB : Hii ndio post yangu ya mwisho kujibizana na wewe .
 
Okay sasa nimekupata. Kumbe una judge mkimbiaji mzuri wa mbio za marathoni kwa mita 100 za kwanza alizokimbia. Na mimi hili ni jibu langu la mwisho kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom