interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
We mwamba mtu akitaka kubishana nawe kwa hoja ktk soka inabidi ajipange haswaaa...maana uko vizuri kuliko maelezo Chifu.MOU kabeba Uefa na Porto, Mara ya mwisho kwa timu ndogo nje ya ligi Tano bora kubeba Uefa ni 1994 Ajax alipobeba, Miaka hii ishirini iliopita mabinhwa wote wa Uefa ni timu Kubwa, Madrid, Barca, Bayern etc.
Porto hawana budget kubwa, hawana wachezaji wazuri, lakini ni mbinu za MOU ziliwapa kombe,
Mara ya mwisho Inter kubeba UCL ni 1965 na MOU pia kawapa na wachezaji wake kina Diego Millito, MOU kawajaza sumu wameperform 200% ya uwezo wao alipoondoka na wao wakarudi kuwa wachezaji wa kawaida.
MOU akipewa authority 100% na kuwa juu ya wachezaji matokeo analeta.
Heshima kwako mkuu.