Joseph Aoun Mkuu wa Majeshi achaguliwa kuwa Rais Lebanon. Marekani, Saudi Arabia na Israel zaahidi kumpa ushirikiano

umewaza kama mie..sio pandikizi hii maana mossad mh
 
Ujue suala sio ubabe tu, ukiwa mbabe jitahid pia uwe na ushawishi kupata watu legitimate wa kukuunga mkono. Hapa Iran ndipo anakwama sana
Na anachokwama kwa sababu yeye urafiki wake ni kukutumia kwa yule anayemchukia. Kama hapo mashariki ya Kati kuwa rafiki akuletee pesa uunde kundi ya kupigania na Israel basi ndiyo anachotaka
 
Siku ya kukabiziwa bikira 72 suti chini kobaaaaziii hatari sana
 
Akienda kinyume na anavyo taka Hezbullah basi atapelekwa kaburini kabla ya siku zake. Tutakumbushana hapa anacho kitaka US na Israel na Saud Arabia hakiwezi kutokea Lebanon
 
Katiba ya Lebanon nzuri sana, ilishapiga marufuku Kobazi yoyote yule kuwa rais wao. Mwalimu Nyerere nae angechomeka hicho kipengele kwenye katiba yetu sasa hivi Kobazi wasingetuuza kwa DP WORLD.
Kwani Nelson Mandela alipoitwa gaidi kipindi cha apartheid alikua anavaa kobazi..?
Nenda hapo Zambia tuu hakuna kiongozi yyt muislam je pamekua patakatifu kama Jerusalem...kuna nchi nyng haziongozwi na waislam kwa nini kusiwe kama Paradiso
Chuki tuu zimekujaa kengee weeh si ukaishi ulaya kulikopitishwa ushoga tuone kama hujaolewa
 
umewaza kama mie..sio pandikizi hii maana mossad mh
Bora pandikizi ambalo mtaishi kwa amani na ustawi wa kiuchumi na kijamii kuliko mzawa ambaye mtaishi kwa vita like Somalia, Sudan, et. al.
 
Kenge wewe kumbe wewe ndiye KOBAZI, uislamu mimi nimeutaja wapi au unataka mme.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 eti hata mafuta hayajakukauka.
 
Katiba ya Lebanon nzuri sana, ilishapiga marufuku Kobazi yoyote yule kuwa rais wao. Mwalimu Nyerere nae angechomeka hicho kipengele kwenye katiba yetu sasa hivi Kobazi wasingetuuza kwa DP WORLD.
Kila walipo kobazi jua kuna unafiki,umasikini na ujinga ulioenezwa na utumwa wa kifikra kupitia kurwan.
 
We
Unaumiza kichwa na wagalatia wasiojua mifumo ya dunia wao ni kuibia serikali ndo wanajua
 
Kumbe kila jambo halitokei tu bila kuwa na sababu iliyojificha nyuma yake.

Hezibollar wamekuwa wakiiendesha Serikali ya Lebanon kwa mlango wa nyuma wakishirikiana na Syria pamoja na Iran.

Nchi imekaa bila Rais kwa miaka miwili kwa figisu za hao magaidi, akiwekwa Rais wasiye mtaka ama asiye na maslahi kwao, wanamuua mfano PM Rafic Hariri.

Kuchokoza kwao 'nyuki' ndiyo kumepelekea mageuzi haya makubwa wasiyoyatarajia.

Na huyu 'mjeda' huenda akawa muarobaini katika siasa za Lebanon na muda utaongea.
 
Kila walipo kobazi jua kuna unafiki,umasikini na ujinga ulioenezwa na utumwa wa kifikra kupitia kurwan.
Ila ajabu hiyo quran yao inawaongoza vizuri hadi wanakuwa na mifumo mizuri ya maisha na kuwazidi hadi hao wazungu unaowaita wana akili
Hapo uingereza tu heathrow wanaimiliki wao
mashirika ya ndege yanaofanya vizuri duniani ni ya kwao
Timu kubwa za mipira wanaxinunua wao
Michezo yote maarufu kama boxing na mechi za mipira zinaenda kuchezewa kwao
Hapo yupi mwenye akili?
Hapa bongo tu wao ndio wameshikilia uchumi wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…