Joseph Aoun Mkuu wa Majeshi achaguliwa kuwa Rais Lebanon. Marekani, Saudi Arabia na Israel zaahidi kumpa ushirikiano

Wanaume mmehalalishwa nyie mtafunane usijifanye hujui...usipingane na Biblia
 
Kila walipo kobazi jua kuna unafiki,umasikini na ujinga ulioenezwa na utumwa wa kifikra kupitia kurwan.
Sasa kwa nini Nyerere hakwenda kanisani kuombewa akaenda zake bagamoyo kwa mashekhe...wapi Nyerere aliona kuna haki
 
Hapo ndo umeeleza siasa za mashariki ya kati ndo zipo ivoo..
 
Kuna Sheikh alisema hiyo nchi haiongozwi na akina Josefu Yohana wala Yeremia, huyu imekuwaje?
 
Kakosea kioengele gani hapo, katibaya Lebanon inataka Rais lazima awe mfumo kristu.
Anayetakiwe kwenda shule hapo ni nani?
Lebanon ni parliamentary democracy state, inaongozwa na bunge ambalo kiongozi mkuu ni waziri mkuu kama ilivyo israel, kulikuwa na civil war wakaamua kugawa madaraka kwa kuangalia uwiano wa dini katika nchi yao
Sunni wapo 61% wao wamepewa nafasi ya uwaziri mkuu milele
Christians wapo 31% wamepewa nafasi ya uraisi milele
Shia wamepewa nafasi ya speaker milele

Kama ulikuwa hujui haya kama huyo kilaza ambae anajua kila nchi ipo kama tanzania,
 
Hezbollah ndo kawanyoosha mpaka wakakubaliana na ceasefire
Huna habari pigo walilopata Hezbollah mpaka wamenywea jamaa yao Assad nae kaondolewa na wao ndio waliokuwa wanazuia Lebanon isipate raisi sasa hivi kila mtu anawadharau.
 
Duuh ceremonial? Halafu unamshambulia mwenzako kijasiri kiasi hicho? Anyways, ipo hivi.

Rais (Mkatoliki wa Maronite)
  • Kulinda katiba na uhuru wa nchi.
  • Kumteua Waziri Mkuu baada ya kushauriana na Bunge.
  • Kusaini sheria zilizopitishwa na Bunge.
  • Kuongoza sera za ulinzi kama Kamanda Mkuu wa Jeshi.
  • Kusaini mikataba na makubaliano kwa kushirikiana na Baraza la Mawaziri.
Waziri Mkuu (Mwislamu kutoka Suni)
  • Kuongoza Baraza la Mawaziri (Cabinet) na kusimamia maamuzi yake.
  • Kuandaa ajenda za vikao vya Baraza la Mawaziri.
  • Kusimamia utekelezaji wa sheria zilizopitishwa na Bunge.
  • Kuunda na kusimamia utekelezaji wa sera za serikali.
  • Kuteua mawaziri kwa kushauriana na Rais na Bunge.

Spika wa Bunge (Shia)
  • Kusimamia vikao na mchakato wa kutunga sheria katika Bunge.
  • Kuongoza shughuli zote za Bunge.
  • Kufanya upatanishi kati ya makundi ya kisiasa ndani ya Bunge.
  • Kuongoza upigaji kura wa sheria na maazimio.
Lengo la katiba yao kuweka mgawanyo wa nafasi na majukumu namna hii ilikuwa ni kuzuia kundi/waumini fulani kuonekana kutawala lingine.
 
Kuna sehemu nimebishi?
 
Bora hilo mara 100 kulikoni kuliwa ndakongo na utandawazi huu,..huku unalazimishwa wasitengwe na kanisa...unasali na shoga'ako pembeni
Yaan mtoto wa Miaka sita anabakwa na mtume unasema Bora Mara mia?.
 
Sasa wewe kuolewa unaona halali kisa Papa kaidhinisha?...
dhambi ni dhambi tu. Siyo sababu Kabaka mtume mtoto wa Miaka 6 uone ni sahihi. Ushoga ni dhambi zote ni dhambi tu. Sasa Papa karuhusu kama nani?.Papa Amekataa kuwa na Mungu. Mungu naye amemuacha afate akili zake. Hii ni biblia soma. Warumi 1:26-28
26.Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
27.wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
 
Hizbullah ipi? Kimsimgi Hizbullah imeisha. Lakini pia Wa-Lebanon wakiwemo hao Hizbullah (Shia) wanaijua katiba yao iliyowapa mgawanyo wa madaraka na hawajawahi kuwa na shida na hilo. Shia wanajua kuwa nafasi yao katika mihimili ya nchi ni kutoka Spika wa Bunge, Suni nafasi ya waziri Mkuu na Christian nafasi ya Rais. Huu mgawanyo upo Kikatiba.

Hizbullah ni wanamgambo wa chama cha kisiasa cha Kishia kama Red Brigate ya CHADEMA au Green Guard ya CCM. Walidekezwa sana. Lakini kwa vile mirija yao imekatwa watajifia kifo chema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…