PreGE2025 Joseph Butiku: Naunga mkono mazungumzo ya Reforms. Kuna rushwa, kuiba kura na Polisi kutumika vibaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Dakika 45 leo!

Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.

Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mimi nakubali mazungumzo ya reforms, wote tunafahamu yako matatizo ndani ya taifa letu yanayohusu chaguzi hizi, rushwa, kuiba kura"-Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Dakika 45 leo!

Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.

Karibu l@ Lucas Mwashamba kwa maoni yako.

Pia Mtoto wa Shule karibu uchangie busara zako hapa
 
Mkuu suala hili ni suala la NCHI ,Wananchi wote wanalitaka hili.

Ni kama navyosema, kale kakikundi ka wahuni wahuni walojilimbikizia Mali, NDIKO kanatuleta hapa, wako tayari kumwaga Damu ili wabakie madarakan, na kama niivo, watanzania pia wawe tayari KUFA Kwa kumbania HAKI zao.

Na mwisho wa Ushindi, wote walotufikisha hapa, wafikishwe mbele ya Sheria na tuwahukumu
 
Ina maana wahaini watakuwa wengi, mimi najisikikizia, kikikiki
Watz tuna shida ya "Stockholm syndrome"

Hiki ni kitu gani?

Ni hali ya kiakili ambapo mtu anaedhulumiwa kwa muda fulani anaanza kuwa na huruma, kuelewa au hata kumpenda mtesi wake.

Baadhi ya dalili yake ni hii

1.Kutetea au kuhalalisha matendo ya mtesi wake.
 
Dakika 45 leo!

Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.

Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mimi nakubali mazungumzo ya reforms, wote tunafahamu yako matatizo ndani ya taifa letu yanayohusu chaguzi hizi, rushwa, kuiba kura"-Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.

ndugu mropokaji mpotoshaji,
reforms zilishafanyika tayari,

na kama Taifa kwa sasa tunaelekea kwenye uchaguz mkuu mwezi October mwaka huu 2025,

Mzee Butiku ameeleza wazi asiwepo kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa wa kuzuia wananchi kuchagua viongoz wanao wataka kwenye uchaguz mkuu huo muhimu na wa kihistoria nchini,🐒
 
Dakika 45 leo!

Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.

Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mimi nakubali mazungumzo ya reforms, wote tunafahamu yako matatizo ndani ya taifa letu yanayohusu chaguzi hizi, rushwa, kuiba kura"-Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Huyu na Warioba ndiyo CCM pekee waliobaki na akili na udhu na ujasri wasi machawa wala wafuga chawa
 
Dakika 45 leo!

Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.

Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mimi nakubali mazungumzo ya reforms, wote tunafahamu yako matatizo ndani ya taifa letu yanayohusu chaguzi hizi, rushwa, kuiba kura"-Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Umeambiwa Roma ikishasema au ikishatoa tamko juu ya jambo lolote maana yake hilo jambo limeingia fainali tayari. Sasa inzi wa kijani endeleeni kushupaza shingo hapo Lumumba
 
Back
Top Bottom