Reforms za kweli za sheria za uchaguzi hazijafanyika na kugusa kiini hasa cha Tatizo – huu ni ukweli usiopingika.
Madai kwamba “reforms zilishafanyika” ni upotoshaji wa wazi. Tangu uchaguzi wa 2020, wadau wote wakuu – vyama vya siasa (kupitia TCD), taasisi kama LHRC, NEC yenyewe, na hata ripoti za kimataifa – wamebainisha mapungufu makubwa kwenye mfumo wa uchaguzi.
Hadi sasa, hakuna mabadiliko ya msingi yaliyofanywa kwenye:
Muswada wa marekebisho haujawasilishwa wala kupitishwa. Marekebisho madogo yaliyowahi kufanyika hayajagusa mizizi ya matatizo.
Mzee Butiku anasisitiza uchaguzi huru na haki – si upuuzi wa kutetea mfumo wenye kasoro. Kama huwezi kutaja kilichobadilishwa, usimwite tapeli yule anayetetea haki ya msingi ya wananchi.