Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #61
Kunakucha vizuri sana.Imeisha hiyo!
Mungu ambaye ni Alpha na Omega hajawahi kushindwa jambo.
Kunakucha vizuri sana.Imeisha hiyo!
Wazee wanaolipenda taifa wamebaki wachache sana Mzee Butiku, Warioba, na wengine kadhaa...... Ila asilimia kubwa ni waganga njaa..... Mungu awabariki sana wazalendo wa kweli...... Reforms zitaongeza transparency & accountabilityDakika 45 leo!
Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.
Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Mimi nakubali mazungumzo ya reforms, wote tunafahamu yako matatizo ndani ya taifa letu yanayohusu chaguzi hizi, rushwa, kuiba kura"-Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.
Na hii nchi itakombolewa kweli na watu wa namna hii.Wazee wanaolipenda taifa wamebaki wachache sana Mzee Butiku, Warioba, na wengine kadhaa...... Ila asilimia kubwa ni waganga njaa..... Mungu awabariki sana wazalendo wa kweli...... Reforms zitaongeza transparency & accountability
Mashetani lazima muwepogi tu. Ila jueni tu huu ni wakati wa Mungu kuikomboa kweli Tanzania dhidi ya udhalimu wenu CCM.Naam hana jipya huyo! Mbona hakuyasema hayo enzi hizo akiwa serikalini? Mbona hakuyasema hayo mwaka 2020? Amwache mama atuongoze mpaka 2023, kama vipi ahamie kongo
Umerogwa wewe si burendugu mropokaji mpotoshaji,
reforms zilishafanyika tayari,
na kama Taifa kwa sasa tunaelekea kwenye uchaguz mkuu mwezi October mwaka huu 2025,
Mzee Butiku ameeleza wazi asiwepo kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa wa kuzuia wananchi kuchagua viongoz wanao wataka kwenye uchaguz mkuu huo muhimu na wa kihistoria nchini,🐒
vipaumbele vya wananchi waTanzania ni mahitaji yao ya msingi ya kila siku kama vile maji, afya, elimu, kilimo, biashara n.k,
tofauti na hayo ni upotoshaji gentleman 🐒
Sure, lazima Watanzania tunaopenda mabadiliko kwa ajili ya Tanzania ilio bora tuendelee kuweka pressure ili hawa majizi wa-bow down na reforms zifanyike ili uwanja wa ushindani uwe sawaNa hii nchi itakombolewa kweli na watu wa namna hii.
Tukiendelea kuwasikiliza hawa wapuuzi ambao saivi wanawategemea loosers kama kina Mwijaku na Doto Magari ujue ndo tunalipoteza hili Taifa mazima.
Muda sii mrefu akina bashite,Darasa la saba Mbunge na bajaji watamuibukia butiku kupinga hoja yake ya kukubaliana na reforms.Dakika 45 leo!
Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.
Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Mimi nakubali mazungumzo ya reforms, wote tunafahamu yako matatizo ndani ya taifa letu yanayohusu chaguzi hizi, rushwa, kuiba kura"-Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.
Umesema kweli yoteTunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi kwasababu tuliandaliwa kuto kuhoji
Tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji kwenye ngazi hiyo utaambiwa kama umekua uondoke tabia ya kukataa kuhojiwa kwasasa imebebwa kwenye ngazi zote za maisha iwe mashuleni, kanisani, vyuoni, kwenye vyama vya siasa kwingine taja wewe
Wadau waliojaribu kuhoji kuhusu tozo za kwenye simu waliambiwa waende burundi kama hawataki kulipa tozo
Mkuu acha ushabiki wa mdomo bila maarifa.Gentleman,
mnaishi katika athari za kususa na kuzira.
hayupo asie jua nchi hii kwamba reforms zilishafanyika na Taifa linaelekea kwenye uchaguz mkuu bila mbambamba za kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa nchini 🐒
Tamko dhidi ya bandari lilibadilisha nn?Umeambiwa Roma ikishasema au ikishatoa tamko juu ya jambo lolote maana yake hilo jambo limeingia fainali tayari. Sasa inzi wa kijani endeleeni kushupaza shingo hapo Lumumba
Atamtukana mzee butiku huyo maana anaamini CCM ni ya wajinga pekee huwa haaminin kama ndani ya CCM kuna wenye akili pia
Hicho cha kuchagua viongozi tunaowataka ndicho kinachopiganiwa na hadi TAL yupo ndani kwaajili hiyo.ndugu mropokaji mpotoshaji,
reforms zilishafanyika tayari,
na kama Taifa kwa sasa tunaelekea kwenye uchaguz mkuu mwezi October mwaka huu 2025,
Mzee Butiku ameeleza wazi asiwepo kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa wa kuzuia wananchi kuchagua viongoz wanao wataka kwenye uchaguz mkuu huo muhimu na wa kihistoria nchini,🐒
Ohoooo sasa sisi CCM tutaficha wapi.uso.wetu au tumwite.shekh mwipopo.amjibuDakika 45 leo!
Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.
Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Mimi nakubali mazungumzo ya reforms, wote tunafahamu yako matatizo ndani ya taifa letu yanayohusu chaguzi hizi, rushwa, kuiba kura"-Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.
Yaani kila samia suluhu hassan lazima apigwe na ujumbe mzito. Ngoja tuone mwisho wake.Imeisha hiyo!
butiku hajawahi gombea hata u CR, warioba alishindwa kura na wasira tangu mjomba wake nyerere atoke ikulu hakuna alishawahi chaguliwa, wajue uchaguzi ni jambo jingine na siasa ni jambo jingine, mbowe aliwaandaa wajumbe akawalipia nauli akawalipia pa kulala na msosi akawakoshia macosta ukimuuliza alishindwaje kura hata yeye hajui, ukofika wakati wa kusaka kura mtuache, ukitaka kujua ugumu wa kura kamuize stive nyerere, ukitaka kura njoo ugombee,Wazee wanaolipenda taifa wamebaki wachache sana Mzee Butiku, Warioba, na wengine kadhaa...... Ila asilimia kubwa ni waganga njaa..... Mungu awabariki sana wazalendo wa kweli...... Reforms zitaongeza transparency & accountability