kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Tundulisu ni mzigo ccm hawawezi kuishi nao Wala serikali kuuzingatia .......wamejikanyaga
Wale Wazee wa kuruka sarakasi pale Bungeni waanze kuaga Jiji la Dom,Bunge sio Chaka la DP WorldMkuu suala hili ni suala la NCHI ,Wananchi wote wanalitaka hili.
Ni kama navyosema, kale kakikundi ka wahuni wahuni walojilimbikizia Mali, NDIKO kanatuleta hapa, wako tayari kumwaga Damu ili wabakie madarakan, na kama niivo, watanzania pia wawe tayari KUFA Kwa kumbania HAKI zao.
Na mwisho wa Ushindi, wote walotufikisha hapa, wafikishwe mbele ya Sheria na tuwahukumu
Mbogamboga hamuelewi,tuliwapima wakati wa DP World pale na mauzo Serengeti na sasa mwendokasi ya UDART inaenda Emirates Arab,nooopndugu mropokaji mpotoshaji,
reforms zilishafanyika tayari,
na kama Taifa kwa sasa tunaelekea kwenye uchaguz mkuu mwezi October mwaka huu 2025,
Mzee Butiku ameeleza wazi asiwepo kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa wa kuzuia wananchi kuchagua viongoz wanao wataka kwenye uchaguz mkuu huo muhimu na wa kihistoria nchini,🐒
Reforms zikifanyika wajiandae kubeba majembe kwenda kulima..... Upuuzi wao hautakuwepo tenaHawajali, mradi wao wanufaike tu.
Sasa hapo kwenye kukata majina si ndio alikuwa anazungumzia kuzuia viongozi ambao wananchi wanawataka?Mzee Butiku ameeleza wazi asiwepo kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa wa kuzuia wananchi kuchagua viongoz wanao wataka kwenye uchaguz mkuu huo muhimu na wa kihistoria nchini,🐒
SASHA muoga sana. Azungumze ana lipi?Mazungumzo ni muhimu Sana kuliko nguvu, ukiona jambo linapigiwa kelele na viongozi wa dini, wazee wenye busara kama Hawa ni vema hekima za viongozi wakaliangalia hili Kwa Jicho la 3,kabla ya maafa
Kwa hio bado unataka umafia wa kura uendelee? Huoni ndio chanzo cha matatizo mengi tulionayo sasa?butiku hajawahi gombea hata u CR, warioba alishindwa kura na wasira tangu mjomba wake nyerere atoke ikulu hakuna alishawahi chaguliwa, wajue uchaguzi ni jambo jingine na siasa ni jambo jingine, mbowe aliwaandaa wajumbe akawalipia nauli akawalipia pa kulala na msosi akawakoshia macosta ukimuuliza alishindwaje kura hata yeye hajui, ukofika wakati wa kusaka kura mtuache, ukitaka kujua ugumu wa kura kamuize stive nyerere, ukitaka kura njoo ugombee,
Swali lako linauhusiano gani na yeye kudai reformshivi butiku alishawahi kushirki kampeni hata ya serikali ya mtaa? kusaka kura sio lele mama
kwani mbowe hakufanyiwa umafia?!Kwa hio bado unataka umafia wa kura uendelee? Huoni ndio chanzo cha matatizo mengi tulionayo sasa?
Thibitisha?kwani mbowe hakufanyiwa umafia?!
Bush Dokta inawezekana mimi nikaonekana ni "hard core" or whatsoever. Binafsi nawalaumu sana waandishi wetu wa sasa. Hawaulizi critical questions!
G55 hawakukataa kuwa kuna haja ya reforms. Walichokataa ni tamko la kuwa hapatakuwa na uchaguzi.Yale ma G55 yanajisikiaje wakati huu wanapoona maaskofu na wastaafu wanaunga mkono kinachopiganiwa na CDM yalikutupuka yashafeli kisiasa waliowatumia hawahitaji tena mana hayana hoja nyingine
kwani hakushindwa uchaguzi?Thibitisha?
Swali jingine ni kwamba. Hii katiba mbovu iliumdwa wakati wa uongozi wa swahiba wake Nyerere, je Butiku hakuuona ubaya wa katiba hii wakati huo?Bush Dokta inawezekana mimi nikaonekana ni "hard core" or whatsoever. Binafsi nawalaumu sana waandishi wetu wa sasa. Hawaulizi critical questions!
Mzee Butiku alikuwa kwenye mamlaka ya kipindi kile kwa zaidi ya miaka ishirini. Kipindi ambacho Mwenyekiti wa CCM wa Kata akitaka kuhutubia Mkutano wa Kata Maduka, masoko, hospitali na shule zote zinafungwa ili watu waende mkutanoni! Aliishawahi kuomba msamaha kwa hili?
Nikipata majibu nitaendelea.
Alishindwa kwa free and fair election huo umafia unaosema Mbowe alifanyiwa ndio tunataka ututhibishie hapakwani hakushindwa uchaguzi?
Umeonae? Ndio maana mimi hulalamika kila mara kuwa viongozi wa sasa ni wapole au ni watii sana kwa Wazee wasiojitambua kama Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mzee Dk. Slaa etc. Huyu Mzee ni wa kushughulikiwa au akae kimya!Swali jingine ni kwamba. Hii katiba mbovu iliumdwa wakati wa uongozi wa swahiba wake Nyerere, je Butiku hakuuona ubaya wa katiba hii wakati huo?