Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Gentleman,Reforms za kweli za sheria za uchaguzi hazijafanyika na kugusa kiini hasa cha Tatizo – huu ni ukweli usiopingika.
Madai kwamba “reforms zilishafanyika” ni upotoshaji wa wazi. Tangu uchaguzi wa 2020, wadau wote wakuu – vyama vya siasa (kupitia TCD), taasisi kama LHRC, NEC yenyewe, na hata ripoti za kimataifa – wamebainisha mapungufu makubwa kwenye mfumo wa uchaguzi.
Hadi sasa, hakuna mabadiliko ya msingi yaliyofanywa kwenye:
Muswada wa marekebisho haujawasilishwa wala kupitishwa. Marekebisho madogo yaliyowahi kufanyika hayajagusa mizizi ya matatizo.
Mzee Butiku anasisitiza uchaguzi huru na haki – si upuuzi wa kutetea mfumo wenye kasoro. Kama huwezi kutaja kilichobadilishwa, usimwite tapeli yule anayetetea haki ya msingi ya wananchi.
mnaishi katika athari za kususa na kuzira.
hayupo asie jua nchi hii kwamba reforms zilishafanyika na Taifa linaelekea kwenye uchaguz mkuu bila mbambamba za kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa nchini 🐒