PreGE2025 Joseph Butiku: Naunga mkono mazungumzo ya Reforms. Kuna rushwa, kuiba kura na Polisi kutumika vibaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kikwete tunatarajia awe baba wa taifa hili, lakini yupo busy na yule mla mbilimbi na limao ili awe sijui nani huko WHO. Hongera sana Butiku bila reforms hakuna kwenda kupiga kura.
 
Umeonae? Ndio maana mimi hulalamika kila mara kuwa viongozi wa sasa ni wapole au ni watii sana kwa Wazee wasiojitambua kama Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mzee Dk. Slaa etc. Huyu Mzee ni wa kushughulikiwa au akae kimya!
Wasishughulikiwe maana wanachokisema ndiyo ukweli. Lkn wanyooshe maelezo yao. Watueleze kwann wanalalamikia katiba sasa na si wakati wakiwa viongozi.

Walikuwa kwenye nyadhifa kubwa sana za uongozi ambapo wangeweza kubadilisha katiba hii enzi hizo.

Au akili huja wakati wa uzeeni ?
 
Sawa nakuunga mkono.
 
Sasa hapo kwenye kukata majina si ndio alikuwa anazungumzia kuzuia viongozi ambao wananchi wanawataka?
huna sifa na vigezo stahiki vya kikatiba kugombea uongozi, utakatwa tu gentleman,

nami nasema wakatwe tu kwasabb hakuna namna nyingine sasa 🐒
 
Mbogamboga hamuelewi,tuliwapima wakati wa DP World pale na mauzo Serengeti na sasa mwendokasi ya UDART inaenda Emirates Arab,nooop
CCM itapimwa na waTanzania October mwaka huu kwenye sanduku la kura,

kinyume na hapo ni ushirikina gentleman 🐒
 
Mwashwambwa atakuja na taarabu zake
images (2).jpeg
 
Hicho cha kuchagua viongozi tunaowataka ndicho kinachopiganiwa na hadi TAL yupo ndani kwaajili hiyo.
Mazingira yaliyopo ni kwamba mwananchi hawezi kuchagua na akatangazwa mchaguliwa kama alivyochagua yeye,kwani Tume si huru,wakurugenzi ambao ni makada ni wadimamizi wakuu wa chaguzi,pia polisi wanatumika kusapresi wale wanaoitaka haki.
mropokaji anapambania whisky na nyama choma kwaajili ya tumbo lake kubwa,

acha upotoshaji gentleman 🐒
 
Huyu busiku naye ni mhaini eti alipewa maagizo batili anaacha kazi ya uaskari aende kulima,huyu aende Ukonga hakuna namna.Zamu wahaini ni wengi TU.
anagomesha jeshi, jukumu la askari ni kutii amri, akiambiwa piga apige,
 
Wasishughulikiwe maana wanachokisema ndiyo ukweli. Lkn wanyooshe maelezo yao. Watueleze kwann wanalalamikia katiba sasa na si wakati wakiwa viongozi.

Walikuwa kwenye nyadhifa kubwa sana za uongozi ambapo wangeweza kubadilisha katiba hii enzi hizo.

Au akili huja wakati wa uzeeni ?
hii katiba iliandikwa na wao baada ya kupewa kazi na mjomba wao, kama waliikosea watuambie, kama walitumia penseli watuambie ufutio uko wapi.
 
Dakika 45 leo!

Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.

Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mimi nakubali mazungumzo ya reforms, wote tunafahamu yako matatizo ndani ya taifa letu yanayohusu chaguzi hizi, rushwa, kuiba kura"-Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Huyu mzee muongo sana

Hayo anayoongea ukimwambia atoe ushahidi hana
 
ndugu mropokaji mpotoshaji,
reforms zilishafanyika tayari,

na kama Taifa kwa sasa tunaelekea kwenye uchaguz mkuu mwezi October mwaka huu 2025,

Mzee Butiku ameeleza wazi asiwepo kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa wa kuzuia wananchi kuchagua viongoz wanao wataka kwenye uchaguz mkuu huo muhimu na wa kihistoria nchini,🐒
🤔 🤔 🤔
 
CCM tunakubarika kwani Kuna ubaya Gani kufanya reforms,Uchaguzi uwe wazi tuuu.Tunaogopa Nini???
 
Dakika 45 leo!

Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.

Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mimi nakubali mazungumzo ya reforms, wote tunafahamu yako matatizo ndani ya taifa letu yanayohusu chaguzi hizi, rushwa, kuiba kura"-Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Mungu ni mwema!
 
Dhalimu magu alinajisi chaguzi kishamba sana. Huyu mama naye alivyohana maono akaiga yale yale ili kujidanganya kuwa ccm chini yake inakubalika sana. Sasa watu wameona kuendelea kukaa kimya haiwezekani wameanza kufunguka waziwazi. Hakuna uwezekano wa kuzuia mabadiliko, sana sana wataishia kuumiza waliochoka kuburuzwa.
Wewe nawe ni Mpumbavu tu adui wetu ni CCM huyo Magufuli alikuwa anatekeleza mambo ya gizani ya CCM mbona hakijabadilikq kitu?
Mwache JPM!
 
Dakika 45 leo!

Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria.

Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mimi nakubali mazungumzo ya reforms, wote tunafahamu yako matatizo ndani ya taifa letu yanayohusu chaguzi hizi, rushwa, kuiba kura"-Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Huyu mzee na warioba ni wazalendo wasio na shaka kabisa
 
Mazungumzo ni muhimu Sana kuliko nguvu, ukiona jambo linapigiwa kelele na viongozi wa dini, wazee wenye busara kama Hawa ni vema hekima za viongozi wakaliangalia hili Kwa Jicho la 3,kabla ya maafa
Exactly 💯 🤣
 
Back
Top Bottom