haya mambo walishakaa vikao, walishakaa TDC chadema wakasusa wakitaka wapewe special consideration, walishakaa vikao vya maridhiano, mama alishasema milango ya mazungumzo iko wazi, sasa badala ya kuanzisha mazungumzo wanaanza kubwatuka mitaani, hatakama una nia ya kuwasikiliza unaanzia wapi? wacha sheria ichukue mkondo wakeCCM tunakubarika kwani Kuna ubaya Gani kufanya reforms,Uchaguzi uwe wazi tuuu.Tunaogopa Nini???