GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Mchezaji aliyeachwa na Young Africans, Joseph Guede leo amekuwa mchezaji kamili wa Singida black stars, ameungana na akina Kennedy Juma kuitumikia Singida Black stars
Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wakubwa wachache sana na wao ndio wenye nguvu kwa wachezaji, wana uwezo wa kumzungusha mchezaji timu yoyote
Sasa nimemuelewa yule mheshimiwa aliyesema yeye ndie alimleta Dube Tanzania na pia Yeye ndie alimpeleka Aishi Simba, naona sasa kampeleka Dube Yanga na kamchukua Guede kwenda Singida.
View: https://youtu.be/THo1zANR3mc?si=fHAZCSUv9Vt7xVrr