Joseph Guede amesajiliwa na Singida Black Stars, Bongo wageni wamefika

Mchezaji aliyeachwa na Young Africans, Joseph Guede leo amekuwa mchezaji kamili wa Singida black stars, ameungana na akina Kennedy Juma kuitumikia Singida Black stars

Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wakubwa wachache sana na wao ndio wenye nguvu kwa wachezaji, wana uwezo wa kumzungusha mchezaji timu yoyote

Sasa nimemuelewa yule mheshimiwa aliyesema yeye ndie alimleta Dube Tanzania na pia Yeye ndie alimpeleka Aishi Simba, naona sasa kampeleka Dube Yanga na kamchukua Guede kwenda Singida.

View: https://youtu.be/THo1zANR3mc?si=fHAZCSUv9Vt7xVrr

ephen_ na Tate Mkuu niliwaambia mkanipinga
 
Kwani Ulitaka Guede aende Parokiani awe Padri au?
 
Mchezaji aliyeachwa na Young Africans, Joseph Guede leo amekuwa mchezaji kamili wa Singida black stars, ameungana na akina Kennedy Juma kuitumikia Singida Black stars

Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wakubwa wachache sana na wao ndio wenye nguvu kwa wachezaji, wana uwezo wa kumzungusha mchezaji timu yoyote

Sasa nimemuelewa yule mheshimiwa aliyesema yeye ndie alimleta Dube Tanzania na pia Yeye ndie alimpeleka Aishi Simba, naona sasa kampeleka Dube Yanga na kamchukua Guede kwenda Singida.

View: https://youtu.be/THo1zANR3mc?si=fHAZCSUv9Vt7xVrr

Ila Guede namkubali sana.
 
Back
Top Bottom