HahahahaBi harusi anatakiwa awe ndani anapikwa ila yy kutwa kuzurura JF...huku anapata maroho ya kataa ndoa...πππππ
Natamani nikutie vibao kwanza utulieπππsema nyie vitoto vya Afu mbili bana...mpk mnaingia kanisani mpo na simu watsup....Hahahaha
Bi harusi kachachukaπ€£
πΉπΉπΉπΉ nouma sana bi harusiWee taratibuuu ...mpka moyo umefanya paaah ooo maiii
Kaa kwa password πΉπΉNakuelewa sana ππ
Wapi tena haporaraa reree bro km hujatia hata kidole kwa bi harusi ukoo tunakutenga, wewe sio wa kwetu πΉπΉπΉπΉ
Kwa nyamwi, km msemaji wa ukoo tunakutenga πΉπΉπΉWapi tena hapo
Hujambo rora?Wapi tena hapo
Sawaπ€£Usiache kuleta mrejesho kwa dada zako hapa
Labella unanitosa kwa staili hiyo sio πKwa nyamwi, km msemaji wa ukoo tunakutenga πΉπΉπΉ
Lete habari Nyamwi255 πHujambo rora?
Unazingua πWewe tumalize hapo uchukue goma hilo πΉπΉ
Kashakaa kibra chinja πΉπΉUnazingua π