Joseph Kabila Ajitangaza Rasmi kama M23 vita Mpya inakuja DRC

Joseph Kabila Ajitangaza Rasmi kama M23 vita Mpya inakuja DRC

Baada ya Tshishekedi na Kagame kuanza mchakato wa kusaini mkataba wa Amani huko Marekani na Marekani kuwa mwekezaji Mkuu wa uchimbaji madini huko Kivu wameona huyo jamaa hana madhara tena.Vikundi vyake akina Maimai and Co hawatakuwa na nguvu Tena maana Kigali itapigana upande wa Kongo kulinda Maslahi ya Washington.
 
Vita vya DRC Mashariki ni siasa tupu kule.
 
Back
Top Bottom