stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
hapana aliusika kumuondoa mshua wake madarakani inasemekanaWamekosea kumwondolea Kinga ya kutoshitakiwa!
hapana aliusika kumuondoa mshua wake madarakani inasemekanaWamekosea kumwondolea Kinga ya kutoshitakiwa!
Sahihi zaidi ni 'Kutokushitakiwa'Hivi ni Kinga ya kushtakiwa au Kinga ya kutoshtakiwa!!?
Siku za Kabila au za Tchiseked??Siku za kabila zinahesabika.
Anguko la Zaire kuwa DRC ni Joseph akiwa na baba yake Mzee Kabila waluoliongoza na baada ya mzee kabila kuuwawa Joseph akachukua nchi na kuiongoza kwa miaka 18, wakati huo Tcheseked alikuwa taxi driver na muuza pizza ubeligiji, utawalinganisha kweli??Siku za Kabila au za Tchiseked??
Putin alikua tax driver Italy kumbe alikua kazi maalumu KGB pana vitu vigumu mkuu..Anguko la Zaire kuwa DRC ni Joseph akiwa na baba yake Mzee Kabila waluoliongoza na baada ya mzee kabila kuuwawa Joseph akachukua nchi na kuiongoza kwa miaka 18, wakati huo Tcheseked alikuwa taxi driver na muuza pizza ubeligiji, utawalinganisha kweli??
Mungu nisaidie nipate visa
Africa Kuna ujinga mwingi sn
Ulaya bwana😅😅😅Eee, usiende NK lakini au palestina