Nani anayempa Kabila kiburi hiki huku Tanzania? Kabila junior aliwahi kuishi Tanzania miaka mingi kabla ya baba yake ambaye ni Kabila senior kuanza mapigano kuiteka Congo akitokea pande za Tanganyika. Sasa hii inataka kutokea tena. Tunajiuliza, nani anampa Kabila kiburi hiki wakati huu? Je, ni Samia?
Siku za kabila zinahesabika.Hahaha umeka video badala kuacha tumsikie akiongea, umeongea wewe mwanzo mwisho.
Tuletee huo ushahidi acha propaganda.
Mme surender kwa hao M23 sasa kabila ndio mtamuweza?Siku za kabila zinahesabika.
Ndiyo umejua leo we Chizi
Mbwa weweWe unayejua kuchambua ujinga wa umbeya mbona ulikaa kimya.
Hivi ni Kinga ya kushtakiwa au Kinga ya kutoshtakiwa!!?Wamekosea kumwondolea Kinga ya kutoshitakiwa!
baada kuuskia anaanza kuwekwa kwenye uchunguzi 🤣