Joseph Kabila Ajitangaza Rasmi kama M23 vita Mpya inakuja DRC

Siku za Kabila au za Tchiseked??
Anguko la Zaire kuwa DRC ni Joseph akiwa na baba yake Mzee Kabila waluoliongoza na baada ya mzee kabila kuuwawa Joseph akachukua nchi na kuiongoza kwa miaka 18, wakati huo Tcheseked alikuwa taxi driver na muuza pizza ubeligiji, utawalinganisha kweli??
 
Putin alikua tax driver Italy kumbe alikua kazi maalumu KGB pana vitu vigumu mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…