Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Hongera Dokta Musukuma tuko pamoja
 
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Msukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
Vituko vya wana Ccm
 
Kweli kabisa ngoja tusubiri huyu kama atapatikana kama si mwanasheria maana naona na Naibu spika ni miongoni mwa wagombea.
Kama sauti hii ni kweli..
then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia
P
 
hivi humu ninani anakumbuka siku Benjamin Mkapa alipokuwa akichukua form ya kuogombea uraisi mwaka 1995 kupitia CCM? ingawa nilikuwa mdogo nakumbuka sana kwa jinsi CCM wenzake walivyo mdhihaki kwa kumwita majina mabaya mabaya, siku ya mwisho alipindua meza!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…