Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

hivi humu ninani anakumbuka siku Benjamin Mkapa akichukua form ya kuogombea uraisi mwaka 1995 kupitia CCM? ingawa nilikuwa mdogo nakumbukusa sana kwa jinsi CCM wenzake walivyo mdhihaki kwa kumwita majina mabaya mabaya, siku ya mwisho alipindua meza!!!!
Kwa mgongo wa mzee mchonga
 
hivi humu ninani anakumbuka siku Benjamin Mkapa akichukua form ya kuogombea uraisi mwaka 1995 kupitia CCM? ingawa nilikuwa mdogo nakumbukusa sana kwa jinsi CCM wenzake walivyo mdhihaki kwa kumwita majina mabaya mabaya, siku ya mwisho alipindua meza!!!!
Nyerere ndie amilfanyia mpango wa upinduaji meza. Bila Nyerere urais angeusikilizia radioni kama mimi na wewe
 
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
View attachment 2076891
Msukuma apewe kurw za ndiyo kwanz ana PhD jamani mkumbuke hilo🤣🤣🤣
 
Hivi mlinga alikosa ubunge aloo namkubali sana mwamba yule nimgempa uspika.
 
Kingwendu nitamchangia pesa ya form za uspika.

Anatufaa sana huyu kwa kasi yake.
 
Back
Top Bottom