Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Kama sauti hii ni kweli..
then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia
P
ohohoooooo pascal umeisha anza kuleta njaa njyaa zako hapa
 
Hii ni kudhalilisha hadhi ya uspika..

Msukuma ujue hajijui, hajitambui, huyu ni hasara kabisa.
 
Kama sauti hii ni kweli..
then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia
P
Itoshe kusema mkuu una unabii ndani yako hapo tunasubiri unabii kutimia tu.
 
hivi humu ninani anakumbuka siku Benjamin Mkapa akichukua form ya kuogombea uraisi mwaka 1995 kupitia CCM? ingawa nilikuwa mdogo nakumbukusa sana kwa jinsi CCM wenzake walivyo mdhihaki kwa kumwita majina mabaya mabaya, siku ya mwisho alipindua meza!!!!
Hivyo tutegemee kwa Dr. Msukuma huenda akawa ajae
 
Hii ni kudhalilisha hadhi ya uspika..

Msukuma ujue hajijui, hajitambui, huyu ni hasara kabisa.
Usimuzalau Dr Joseph Kasheku Msukuma usiye Mtaka kaja huenda akawa spika ajaye.
 
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Dkt Joseph Musukuma amechukua fomu ya kugombea kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mchana huu hapa katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam. #MillardAyoUPDATES



View attachment 2076887
Kwani hilo ni la ajabu? CCM hawana heshima na elimu kabisa TZ ndo nchi yenye bunge ambapo profesa anaka na wadarasa la saba kujadili national issues, na sio lahisi kuona tofauti yao wakiwa wana jadili
 
Back
Top Bottom