pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
dadadeki ccm, tena anaweza kuwa smart kuliko yule mgogo 🤣 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni smartdadadeki ccm, tena anaweza kuwa smart kuliko yule mgogo 🤣 🤣 🤣
Kwa akili za wabunge wa CCM kama msukuma atatoa pesa nzuri basi ujue watampitishaMbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Dkt Joseph Musukuma amechukua fomu ya kugombea kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mchana huu hapa katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam. #MillardAyoUPDATES
View attachment 2076887
Ila huu utabiri wa Paskali usiuchulie poa!ohohoooooo pascal umeisha anza kuleta njaa njyaa zako hapa
Udaktari wenyewe kanunua, Hilo Bunge litakuwa Bunge kweli?
Kwani hamjui juzi tu, ametunikiwa PHD ya heshima?/ Dr. Joseph Kasheku Musukuma??Ni haki yake kikatiba
Sifa na vigezo vya Spika ni sifa za kuwa mbunge, kujua kusoma na kuandika.Sifa ya Uspika ni kusoma na kujua Kusoma na Kuandika .... Sifa ambayo Msukuma anaikidhi...!!
Yenye elimu nayo ndio majizi, basi tu hili li nji.Huyu kwenye CV yake ataandika ana elimu gani?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
PhD holderMbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
Urais na uspika umekosa hadhi hata vichaa wanaweza kuukwaaMbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
Afadhali bana akatutetee wavuta bangiNi haki yake na ametimiza sifa na vingezo!. Niliwahigi kushauri Spika JYN ndiye awe Spika wetu wa mwisho asiye mwanasheria!.
P
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
Doktori huyo we jamaaDarasa la 7 watapata spika