johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Haya ndio maajabu ya Tanzania. Unakuta tunakomaa watoto wetu wasome wafaulu vizuri lakini ikifika kwenye viongozi wa kutufanyia maamuzi na mstakabali wa maisha yetu tunachagua watu ambao hawakusoma wala kwenda shule.
Msukuma apele tu hoja bungeni kila kijiji tununue ndege tufanye biashara na baadae sheria kila mtu anunue ndege iwe lazima.
Hii ndio CCM!!!
Yaani maajabu sio Musukuma au Lusinde. Ukija Jiwe ni maajabu hata profesa Jalalani. Huku Bashite pale kibabu Polepole. Wote hao wakifungua kinywa kutamka kitu ni sawa na ile shughuli pevu mafichoni!Hii ndio CCM!!!
Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.
Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.
Maendeleo hayana vyama!
Mnamuona ana akili timamu?Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.
Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.
Maendeleo hayana vyama!
Wasomi mliosoma na kuelimika mmekataa kuingia kwenye siasa,haya ndio malipo.