Joseph Kasheku (Musukuma): Nitapeleka hoja binafsi bungeni kudai kila mkoa ununue ndege zake za kufanya biashara

Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
Anafikiri kumiliki ndege ni kama kumiliki mabasi ya Tanganyika Bus Service.....!!
 
Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa

Huyu Msukuma toka lini akawa mtaalam wa kutoa ushauri wa kufanya biashara ? Angekuwa mtaam wa biashara leo hii madeni yamemjaa mpaka kwenye kope za macho; amekopa fedha kwenye mabenki na ameshindwa kurudisha mpaka leo hii wanatangaza kuuza collaterals alizowekeza. Huyu ni mmoja ya wabunge wanaotumia huo ubunge kufanya utapeli!!
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
Aisee. Wangeanza na biashara ya mabasi ya mkoa. Mtoto hawezi kimbia kabla hata ya kutambaa.
 
Huyu Msukuma toka lini akawa mtaalam wa kutoa ushauri wa kufanya biashara ? Angekuwa mtaam wa biashara leo hii madeni yamemjaa mpaka kwenye kope za macho; amekopa fedha kwenye mabenki na ameshindwa kurudisha mpaka leo hii wanatangaza kuuza collaterals alizowekeza. Huyu ni mmoja ya wabunge wanaotumia huo ubunge kufanya utapeli!!
Kule Lumumba wanadai King Musukuma anamiliki mgodi mkubwa wa gold....au wanamsingizia?!
 
Aiseee
Yaani maajabu sio Musukuma au Lusinde. Ukija Jiwe ni maajabu hata profesa Jalalani. Huku Bashite pale kibabu Polepole. Wote hao wakifungua kinywa kutamka kitu ni sawa na ile shughuli pevu mafichoni!
Kweli CCM kiboko yao!
 
Unafikiri shida ni ugumu au urahisi wa kununua ndege kama pipi? Shida ni hayo mawazo kwamba kila mkoa uwe na ndege zake

13346561_1045891872161693_1872851944272501840_n.jpg
 
Dah...ikibidi kila familia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom