Joseph Kasheku (Musukuma): Nitapeleka hoja binafsi bungeni kudai kila mkoa ununue ndege zake za kufanya biashara

Joseph Kasheku (Musukuma): Nitapeleka hoja binafsi bungeni kudai kila mkoa ununue ndege zake za kufanya biashara

Wangapi waliopost humu wangekubaliana na wazo hili lingetoka kwa wanaye mpenda?
humu watu hujibu kwa mkumbo siuoni ubaya a hilo wazo lake ana uhuru wa kutoa maoni kama tulivyo sisi humu.Pia iwapo kila mkoa una viwanja au kila wilaya ni kweli vyote vitakuwa vitaegemea ATCL? ndege kuna za za kila aina kama yalivyo magari kuna ndogo ambazo mikoa kama ya arusha mingine yenye mvuto wa kitalii zinasaidia lakini kikubwa nilichokiona kwenye senteso yake ni kutaka uwepo ushindani halali kwenye biashara ya ndege ili serikali isiwe na ukiritimba kwenye hii biashara ..
 
Hilo wazo au matopeeeee

Ova
 
Msukuma huyu ndiye aliyekuwa ndumu,msuba ihalalishwe bila shaka huyu mtu ni mtumiaji mzuri wa hiyo kitu na imeshapanda kichwani!
 
Bangi za kuvutia chooni hazijawahi kumwacha mtu salama! eti hawa ndio wabunge wanaotarajiwa kutunga sheria zilizoandikwa kwa kiingereza.
 
Haya mawazo yanafanana na ya Magufuli kabisa! Isije kuwa hawa watu ni ndugu!
Usishangae wote wawili ni Wenyeviti wa chama chao balaa na kabila moja kwa hiyo akili zao sawa. Wacha apeleke muswada wake Bunge na utapita bila kupingwa maana huko nako watu kama wao wamejaa.
 
Hivi ndege zimeshuka bei?nifahamisheni mimi mpanda mabasi
 
hapo ndio utashangaa hii Tz, mtu std 7 tena ya mang'amung'amu anawaza vitu kuendana na elimu yake badala ya kuwaza kutokana na hali halisi ilivyo. Mbunge std 7 lkn dereva anatakiwa awe form 4
 
Back
Top Bottom