Joseph Kasheku (Musukuma): Nitapeleka hoja binafsi bungeni kudai kila mkoa ununue ndege zake za kufanya biashara

Mnao pita pita huko Duniani tusaidieni,

Hivi ndege siku hizi bei zake zimerudi kwenye "Yu Tong".....!
Labda wanunue helicopters second hand juzi nikiangalia kwenye mtandao kuna zinazouzwa million 180, tzs bila kodi
 
Haya ndio maajabu ya Tanzania. Unakuta tunakomaa watoto wetu wasome wafaulu vizuri lakini ikifika kwenye viongozi wa kutufanyia maamuzi na mstakabali wa maisha yetu tunachagua watu ambao hawakusoma wala kwenda shule.

Msukuma apele tu hoja bungeni kila kijiji tununue ndege tufanye biashara na baadae sheria kila mtu anunue ndege iwe lazima.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wewe jimboni kwenu kuna hali nzuri sana siyo ? Ebu tutajie jimbo lako tufanye uchambuzi
Jimboni kwake watu wakula mapanki na nyumba mbovu mvua ikinyesha unashikilia kenchi ili isiende na upepo hao ndio watapanda ndege?
 
Hawa ndio viongozi tunaotegemea watuvushe kwenye uchumi wa kati
 
Kwa hiyo kwa akili yako unamuona Lissu ndio msomi pekee hapa Tanzania ?
Mtafute Lisu ujuwe gharama za uelewa na kuhoji kwa faida ya Taifa

Wajinga wote wanakuchukia kwa kiwango cha uuwawe
 
Kuna kabila ambalo halina wachawi ? Wasukuma wangekuwa wachawi mngekimbilia kuja kubanana kwenye nikoa yao ? Huoni mikoa ya wachawi ikivyodumaa kimaendeleo ?
Ndiyo maana wengi wao ni wachawi
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
Na kila mkoa utumie pato lake lenyewe kw maendeleo yake:

CHATO itarudi kuwa kama MTAMA kwa NAPPE, Chato haiingizi chochote hapa nchini, nna shemeji yangu pale TRA , anasema mfanya biashara mmoja tu wa Kariakoo ni sawa na pato zima la CHATO ila anashangaa jombii kila kitu anapeleka huko, no production at all.
 
Ccm wataunga mkono
Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kuna kabila ambalo halina wachawi ? Wasukuma wangekuwa wachawi mngekimbilia kuja kubanana kwenye nikoa yao ? Huoni mikoa ya wachawi ikivyodumaa kimaendeleo ?
Sasa wewe unabisha kitu gani wakati Musukuma ni mwenyekiti wa waganga wa kienyeji?
Kamuulize yeye atakwambia na hilo halina ubishi.
 
Hivi yale mavitabu wanayopewa wabunge yenye page 100 sjui 200 Hivi anazsomaga Kweli
Huyu mwamba

Ova
 
Nakuhakikishia kuwa hawezi kusoma kabisa hata hiyo sahihi yake ni shida tu
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu mheshimiwa wa sifa inabidi afahamu kuwa hakuna sheria inayokataza mwananchi au taasisi yoyote ile ya kitanzania kufungua kampuni ya ndege. Ila wajitayarishe kwa maumivu maana uendeshaji wa taasisi hizo siyo lelemama.
 
Hio hoja ikipita kila mkoa wajipandie ndege yao,ni marufuku kupanda ndege isiyo ya mkoa wako,ziandikwe katavi,Kilimanjaro, mbeya
 
Kwa hiyo kwa akili yako unamuona Lissu ndio msomi pekee hapa Tanzania ?

Wewe nimmoja wa wajinga wasiolewa having references portraying the validity of threats existence. Sample always mentioned to justify the reality doesn't mean to count and present each and everything.
 
Haya ndio maajabu ya Tanzania. Unakuta tunakomaa watoto wetu wasome wafaulu vizuri lakini ikifika kwenye viongozi wa kutufanyia maamuzi na mstakabali wa maisha yetu tunachagua watu ambao hawakusoma wala kwenda shule.

Msukuma apele tu hoja bungeni kila kijiji tununue ndege tufanye biashara na baadae sheria kila mtu anunue ndege iwe lazima.
Ha ha ha ha!
Asante mkuu, watu wamkumbushe Msukuma asifikiri kwa vile ana sauti basi ana akili.
Sauti ya Msukuma na akili ni vitu viwili tofauti kabisa!!
 
Back
Top Bottom