Joseph Kasheku (Musukuma): Nitapeleka hoja binafsi bungeni kudai kila mkoa ununue ndege zake za kufanya biashara

Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
Umemaliza vibaya! Ubaguzi unaofanywa katika kuleta maendekeo kati ya majimbo yanayoongizwa na vyama tofauti, unacontradict msemo huu feki.
 
Mbunge au diwani akishachaguliwa anakuwa ni wa wote.......vyama huwekwa pembeni!
 
Naona wachungaji Sahv washaonesha wako upande gani au kwa sababu wanaogopa magumashi yao kuanikwa ndy wameamua kuungaa mkono awamu hii

Ova
 
Wachungaji wa namna hii wamesababisha hamu ya kusali kwenye makanisa yao imeniishia maana wamejaa unafiki uoga kujipendekeza kazi kutuaminisha mafanikio na ujasili feki wakati wao wakiguswa kidogo na mamlaka wanaufyata...bora pesa yangu ya kuwapa nishinde gest na mchuchu
 
Wachungaji wa namna hii wamesababisha hamu ya kusali kwenye makanisa yao imeniishia maana wamejaa unafiki uoga kujipendekeza kazi kutuaminisha mafanikio na ujasili feki wakati wao wakiguswa kidogo na mamlaka wanaufyata...bora pesa yangu ya kuwapa nishinde gest na mchuchu
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
Akili za kijanga hizi,huko jimboni kwako maji yapo?Zahanati zipo?Vituo vya afya vina ambulance? Barabara zinapitika?
 
Haya ndio maajabu ya Tanzania. Unakuta tunakomaa watoto wetu wasome wafaulu vizuri lakini ikifika kwenye viongozi wa kutufanyia maamuzi na mstakabali wa maisha yetu tunachagua watu ambao hawakusoma wala kwenda shule.

Msukuma apele tu hoja bungeni kila kijiji tununue ndege tufanye biashara na baadae sheria kila mtu anunue ndege iwe lazima.
Anadhani ndege ni yale Mabasi yake haya tu yaliyoko hawapendi watu je kila mkoa hapa ndo tatizo lilipoanzia those without power have idea and those with power have no ideas
 
Angesema anapeleka hoja ya kuanzisha kampuni ya biashara kila mkoa angalau ningemwelewa japo RTC ZILIKUFA LAKINI TUNA NAFASI YA KUREKEBISHA MAKOSA
Iwe owned na wananchi
 
Tatizo la msukuma ni darasa la saba B.Huyu ni jamii ya kina lusinde
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi hii habari ni ya kweli au ni stori tu.
 
Yaani maajabu sio Musukuma au Lusinde. Ukija Jiwe ni maajabu hata profesa Jalalani. Huku Bashite pale kibabu Polepole. Wote hao wakifungua kinywa kutamka kitu ni sawa na ile shughuli pevu mafichoni!
Kweli CCM kiboko yao!
Ushamba umekuzidia...msomi hupokea zaidi kwa kila MTU. Na hutumia mawazo ya kila MTU kujenga nchi yake.
 
Wangapi waliopost humu wangekubaliana na wazo hili lingetoka kwa wanaye mpenda?
Hapa siyo suala la kupendwa au kuchukiwa! Hoja yenyewe imekaa kibangi bangi mno. Unakumbuka huyu huyu alishawahi kusema bungeni bangi iruhusiwe? Haya ndiyo madhara ya bangi.
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
ANgeanza na hoja ya kujenga viwanja vya ndege kila mkoa kwanza.
 
Stendi za basi tu kuna mikoa hazieleweki hizo ndege sijui zitatuana na kupaki wapi wajemeni!
 
Back
Top Bottom