Tatizo mheshimiwa sio kwamba faith inatublind..ni kwamba tunaendekeza blind faith...
You see, kuna wengine wetu ambao kila kitu wao wanamezeshwa na viongozi wa dini..wanasahau kuwa as humans, hata hawa viongozi watakuwa na mapungufu yao, utashi wao, chuki zao, n.k na kwamba ni vyepesi sana kuyaincorporate hayo katika mafundisho wakadanganya watu kuwa ndivyo Mungu anavyotaka.
It is for this case that Mungu alitupatia vitabu na sheria ni kwamba "in case of any controversy, refer to the Bible" (kwa wakristo wenzangu - siwezi semea upande wa pili)
As long as you let another person think for you, reason for you and decide for you then you are heading for a fall. Sikatai kwamba kuna watu wanaopaswa kutupa mafundisho ya kidini, no! point yangu ni kwamba sio kila unalofundishwa unalichukulia kuwa lipo hivyo..think and analyze..kwa kuwa Mungu kampa ubongo kila mtu then tukiutumia huo ubongo effectively no one can lead us astray..na tusisahau kuwa siku ya hukumu hakutakuwa na excuse ya "NILIFANYA HIVI KWA KUWA NILIAMBIWA NA KIONGOZI WANGU WA DINI" Japokuwa kiongozi huyo aliyedanganya watu ana adhabu yake kwa kudanganya huko, still kwako wewe itakuwa sio utetezi, Mungu atakuuliza "Hiyo akili nilikuwekea ya kazi gani kichwani"?
Na wengi wnaodanganywa wanatia sana huruma kwa sababu wana bidii kweli kweli na dini..lakini inakuwa sawa na mtu ambaye ana mbio kwelikweli kumkimbilia Mungu..tatizo the joker is running in the opposite direction.
Remember Paul (nee Saul)?, alikuwa mmojawapo wa Zealots, watu ambao walikuwa wanaongozwa na blind faith..walikuwa committed na mafundisho kupita kiasi..so kuwaua watu wa Mungu aliambiwa "this pleases God" na aliamini na kuwachinja kweli...luckily for him Mungu aliamua kumuweka katika mstari wa ukweli.
Kwa hiyo hawa victims wa Kibwetere, we can feel sorry for them lakini walipaswa kumuuliza huyu bwana "where is it written in the Bible?
Yesu mwenyewe alikuwa anatoa mafundisho pamoja na quotation. hata satan aliambiwa "...it is written...."
Tuondokane na blind faith ili kuepusha matatizo..there is no sin in questioning mafundisho yanayotoka kwa wanadamu wenzetu