Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

Wazo ni nzuri ila Content za kibongo wasanii wenyewe Kila siku wana content za Ngono! Ili wabakwe relevant!
 
Muongo wewe njoo na takwimu za namba utuoneshe ni lini efm imewahi kuipita clouds!


In terms of IDADI ya freequence mikoani !

Lete mikataba ya matangazo (deals ) kati ya clouds na efm


Lete salary average ya hizo radio 2


Lete IDADI ya wasikilizaji per session kati ya clouds na efm ... Acha kuongea umbea wa vijiwe vya saluni za kike



Hao efm hawajaifikia clouds hata robo.

Ukiondoa kipindi cha michezo hao EFM wana kipindi Gani Tena. Vipindi vyote wamekopi clouds na havifanyi vizuri.
 
Chanzo nyeti ninacho na natamba nacho. Lol
Kuna wanaokufuatilia waone matokeo ya vyanzo vyako nyeti. Kuna lile la Simba ikifungwa Mo anandoka na akishinda Try again anaondoka, bado lipo pending.
 
Inaweaekana ila sidhani kama itakua kama Netflix au Hulu. Kingine bado tuko nyuma kwenye tasnia ya filamu, naona kama anafanya poor investment...
Angekuwa mwingine ningepata shaka ila sio Kusaga.
 
Kitu kingine kitakacho tugharimu hapa kwetu bundle ni ghali jamani. Wenzetu huko ma free wifi ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…