Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

Napenda sana unavyotoa taarifa sio kama wale wapumbavu wengine wanajifanya kuweka code ili waonekane wa maana.

But....
Streaming channel ya kibongo itakayokua sawa na Hulu, Netflix, Amazon Prime au Disney+ hapo anatupanga. Bado sana... Kwa bongo. Na kwa content zipi tulizonazo??
hapo anatupanga. Bado sana... Kwa bongo. Na kwa content zipi tulizonazo

Apo umeongea point ya msingi sana.
 
Hakuna haja ya kubishana, June sio mbali.
Duuh mimi naongea facts wewe unaona nataka kubishana. Ubishi uko wapi hapo!??
Hebu mwenyewe tuambie. Kwa bei za bando zilivyo juu Tz, content zisizoeleweka na production producers wabovu waliopo kwenye industry hii. Unadhani kweli ataweza kua sawa na hao uliomlinganisha nao??
 
Kwanini unaleta ubishani kwa kitu ambacho bado hujakiona? Halafu ndio unasema ni facts?
 
Kitu gani ambacho sijakiona?? Swala la Mb kua ghali, Hzo content au hio streaming channel?

Kama ni hio Chanel basi nawewe bado hujaiona ukajua ufanisi wake u less wewe ndio uwe Developer wa hio channel.
Mimi napinga kuilinganisha na chanel hizo za wazungu coz kuna factor nyingi zinazoziwia isiweze kuchana anga.

Streaming channel ya Showmax kutoka Dstv imeshindwa kulingana nao ije kua hiyo ya joe inayotegemea content za kibongo.
 
Mimi nimeleta kama habari, wewe ulikuwa unalifahamu hili? Kuhusu uwezo wa hiyo App kwanini usisubiri izinduliwe ndipo utoe maoni yako?
Hizi unazoleta ni nadharia.
 
Same applies to your information. I call them information/theories bcoz there's no supporting docs on your claims.
So wote tunatoa nadharia tu hapa!
 
an experienced and trusted adviser
Okay, sasa ni kwamba kwa mujibu wa Kusaga mwenyewe anasema wazo la redio alikuwa nalo yeye, akamshirikisha Ruge.
Mwisho ni kwamba redio ilianzishwa na familia ya Kusaga, na kwa kuwa Kusaga alishauona uwezo wa akili na ubunifu wa Ruge akamkabidhi aiendeshe, the rest is history.
 
Back
Top Bottom