Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

Hukuona nilivyomwambia nashukuru kama anaamini andiko langu lilimgusa?

Na kwani unakuwaga na shida gani na mimi Mkuu? Tokea zamani nilidhani umeshaacha!
Mm nilichoona ni umekua excited kwa kitu cha kufikirika
Sina shida yoyote na ww, na wala sikumbuki. Mm hukosoa lolote naloona halipo sawa, tatizo ni huwa hampendi kukosolewa
 
Well…
Usichokijua ni kwamba chanzo kinachonipa habari nyingi ninazozileta hapa ambazo hazina shaka ndani yake, kina ukaribu wa moja kwa moja na hao watu. Sio habari za kusikia…

Habari nyingi ninazozileta hapa, 90% huwa napata mrejesho kutoka kwa wahusika walivyozipokea. Wengi humtafuta chanzo changu kulalamika habari hizi nazipata wapi au wengine wanawatafuta watu wake wa karibu na habari zinamfikia naye hunifikishia.

Ndio maana nilishukuru kwa mfuatiliaji wa taarifa zangu kuniambia vile (of course nilichokiandika muhusika alifahamu, FYI)
 
Mfano ni habari zipi hizo ulizoweka then baadae zikawa kweli? Naomba kujua

Pia hiyo statement yako mwishoni bado unaamini diamond alisoma ulichoandika na akabadilika, huu mm nasema ni uongo mkubwa na kujiaminisha hivi ni ujuha
 
Issue ni content hata Netflix yenyewe ipo mbioni kufeli baada ya competitors kuanzisha VOD zao hivyo kuzinyofoa Netflix..., mteja aki-subscribe anataka as much content as possible under one roof..., sasa hapo utakuta competition inakubania content zao

Dunia ishakuwa kijiji ndio maana ni vigumu kuna na Youtube ya Bongo per see sababu kule Youtube kuna content zaidi

Anyway all the best
Nani competitor wa Netflix?
 
Nani competitor wa Netflix?
Kila network ina Video on Demand jambo ambalo netflix aliona kabla akajaribu kuja na Netflix Originals na sasa hivi ku-stream live events....

Kuanzia HBO, Disney, Hulu, Amazon, Fox, Showtime, Apple TV hadi Youtube zote hizo ni competition ambapo wengine mwanzo walikuwa collaborators..... Anyway the most advantage they have is to re-invent themselves.... as its a very scary competitive world out there (and the content owners might have something to say..., as for the technology everyone can have it)
 
Sidhani kama atabase kwenye movie za kibongo kama wengi wanavyodhani.
Itakua umbea umbea kwa sana
Vishu kama Vishu, kwani umewahi kukubaliana na kitu basi?

Hii sio habari ya kudhani, hizo contents nilizowaambia ni ukweli. Labda ziongezwe nyingine ila mpaka sasa hizo ndizo zilizopo kwenye mipango.
 
Nadhani if research can say anything about it katika hii game ni kuweka low overheads na tumia mass kama content creators na kwa muktadha huo Mange na kina Millad Ayo kwa Bongo wamefanikiwa na tayari wapo kwenye game...

Kama ni movie za Bongo - who owns them ? Ni nani anamiliki Sinema Zetu na kama ni Azam na tayari ana contracts za kina Sultan za miaka na miaka au ITV na Contract za kija Jumong unadhani hao wanaweza wakampa Clouds hizo content ?

Kwa ufupi sasa hivi tunatembea kwenye dunia ya ushindani balaa unaweza kuamka asubuhi upo out of the market ndio maana wengi hawa-invest kwenye product per se bali community behind...

Kesho unaweza ukaja na JF bora kuliko hii kwa mtizamo na features ila kuja kupata community ambayo tayari wenyewe wameshaipata ni mziki na itakuchukua miaka...., Kwahio end game ya upcoming wengi huwa ni kutengeneza hype..., kupata angel investors wa kutosha (na wewe kuchukua chako kidogo kidogo) kutengeneza community ya kutosha na hata kabla hauja-break even au kutengeneza faida hata sumni kutafuta mtu wa kununua (giants) kina google, facebook n.k. (Huo ndio mchezo wanaocheza watu sababu kushindana na giants its virtually impossible na ukija na idea mpya itaibiwa na wao kuifanya vema zaidi) - It's like a jungle in this habitat
 
Umesema vyema, ila haina maana watu wasijaribu Mkuu. Kwa mwekezaji mzoefu kama Kusaga nadhani ameshafanya reseach ya kutosha anajua anachoenda kukifanya pia kajiandaa vyema juu ya hilo.
 
Kusaga ni old school investor.

Investors wote kwenye media hapa TZ ni oldschool.

Hio app itaanza kwa hype lkn itafeli kama zilizotangulia, hio biashara ni ngumu sana kufanywa na mmbongo, especially oldschool kama Kusaga.

Wameishia kurundika redios tu, nani anasikiliza redio miaka hii? Unless wanapitishia hela zao humo kutoka corner zingine

Game zima la emtertainment lilikua oldschool mpaka alipochomoka mondi, na mondi alisanuka sabb alifanya kazi na watu wa South Africa na Nigeria, ndo akawa wa kwanza kuinvest massively kwenye mitandao miaka hio, na ndo maana akawa na kiburi cha kuwawekea ngumu Clouds, eatv, nk nk...
 
Mimi nakataa, nina imani na Kusaga. Tumpe muda.
 
Umesema vyema, ila haina maana watu wasijaribu Mkuu. Kwa mwekezaji mzoefu kama Kusaga nadhani ameshafanya reseach ya kutosha anajua anachoenda kukifanya pia kajiandaa vyema juu ya hilo.
Na ndio maana nimekuonyesha end point wengine wanatengeza product ili mwisho wa siku wauze hio product Youtube bila Google wala Mpesa bila Vodacom isingefika ilipofika leo...

Kwenye Video on demand ndio maana nikasema Niche - kina Mange wameweza kuchukua upande wa udaku na uongo, kina Ayo upande wa news ukiwa an content Video on Demand ni medium / outlet kwahio ni lazima uwe nayo na hata kama Clouds asipokuja na hii bado Video zake Youtube n.k. na kuonyesha content yake ni aina tu ya Video on Demand katika different business model... ila kama unataka kuweka under one roof ili watu wachangie subscription upande wa pili lazima uwe na content za kutosha ili mlaji apate value for money..., na kwa ambao wanazo content itabidi uwalipe pesa nyingi ili uonyeshe au wataamua kukukatalia kukupa ili waweke kwao (huenda Azam asikupe Premier League au asiruhusiwe kukupa au uingie mkataba exclusive)

Kwahio hizo intricacies zote za gharama ya ku-host content kulipa content providers n.k. unaweza kuona kwamba ni nyingi kuliko unachopata na utakachopata..., Ndio maana wengine target yao huwa ni mwisho wa siku kupata funds kutoka kwa angel investors ku-build business hata miaka kumi bila profit yoyote na mwisho wa siku kuuza hio biashara kwa big businesses au kuibadilisha na kuwa PLC na kuuza shares....

Business models nyingi za Teknolojia na Apps zinaangalia Growth kuliko Profit Yaani kutengeneza Community kwanza kubwa alafu ndio kuwaza jinsi ya ku-monitize hio community na nyingi zaidi ya kutumia funds za investors au indirect means of profit (kama whatsapp inavyoisaidia facebook kufahamu taste zako hivyo ku-target matangazo yao) hazijamake - wala hazi-make direct profit.....
 
Nifah nje ya mada.. sema neno kuhusu NIFFER jamani.. unajua ana tishia amani.. mpaka najiona mzembe
Well, ni msichana hodari, mchapakazi na ana uthubutu. Zaidi anajua kwenda na trend, amejua kucheza na akili za wabongo kupitia yale tunayoyapenda zaidi (umbea )

Unakumbuka alitoka vipi? Kwa kumvalisha Ali Kiba na Ali alipotangaza tu hilo ikawa ndio njia yake ya kutoka na amedumu katika njia hiyo (japo kuna mengine baina yao na alikiri hilo)

Lakini, usijione mzembe juu ya mafanikio ya mwingine ambayo hujui nyuma yake kuna nini. Hukuwahi kusikia ile audio yake (huyo msichana) akimtukana mfanyakazi wake huku akisema anakopatia mtaji wake? Je wewe uko tayari kufanya hayo?
Biashara hii mpya nasikia kachukua mkopo mkubwa sana kuifanikisha.

So yeah, maua yake tumpe kama mpambanaji ila baki na kuamini katika njia zako, usitamani mafanikio usiyojua njia zake. Lakini unaweza kuichukua kama changamoto, wewe sio mzembe.
 
Ooh! Thank you & be blessed ChugaGirl mwenzangu [emoji3590]
 
Labda ni ile versetz....

Niliona wametengeneza filamu fupi kutokana na ile video ya 'single again' ya harmonize

Juzi hapa niliona igizo fupi ITV vodacom wanatangaza bima yao, wakataja streaming service yao pia,

Mambo ni mengi
 
UPDATES KUELEKEA UZINDUZI WA APP
Joseph Kusaga amewasilisha ombi rasmi kwa Rais kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa App yake, pia akipendekeza Rais awe mtu wa kwanza kulipia App hiyo.

APP ITAITWA AFROBOX
Jina rasmi la App limeshapitishwa, ni Afrobox.

PAMBANO LA HARMONIZE NA MWAKINYO LIVE…
Upo uwezekano mkubwa wa pambano la ngumi kati ya bondia Hassan Mwakinyo na Harmonze kuruka moja kwa moja kupitia App hiyo ya Afrobox, mratibu akiwa Joseph Kusaga.

Uptades kutoka kwa chanzo changu, tusubiri uzinduzi.
Nifah
 
Back
Top Bottom