Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Huwezi kuendesha kitu kisicho na faida kwa manufaa ya wengine ilihali wewe ni mfanyabiashara.MD wa clouds media Joseph Kusaga tamasha la fiesta halina faida yoyote kifedha kwa upande wa clouds tofauti na watu wanvyosema na kudhani inawanyonya wasanii, Kusaga anasema wanaendelea kufanya Fiesta kwasababu wanaamini katika kuwapa wasanii platform na kukuza mziki wa bongo fleva
Kusaga aliongeza ukiangalia gharama za maandalizi na vile watu wanapoona watu wamejazana viwanjani Basi wanajua clouds wanakusanya mamilioni lakini ukweli ni kwamba gharama za kuendesha Fiesta ni kubwa kuliko kill kinachopatikana.
Ameongeza Fiesta Dar es Salaam itafanyika kabla mwaka kuisha.
BIG NO! Anatafunga kamba huyu jamaa, duniani hakuna mwenye harakati za mshumaa. Aungue mwanga wapate wengine