Huna unalolijua ina maana hujawahi kusoma threads ndefu, maana siku nzima ungekuwa una edit sarufi. Usiniletee njaa umetoka kwe hoja unaingia kwenye mambo hata yasiofikilisha akili.
Kufanya nini?utaenda?
Ndo tulipo fika mkuu,bila hivo watu watakufa njaaSijui kwanini kipengele cha raisi kimeingizwa hapa? yaani uzungumze na raisi mambo ya fiesta?
Barida tu kubabakoAsante kwa taarifa..
Muhimu kwenda kujumuika na kuunga mkono vitu vitakavyo kuwa Alama ya Uzalendo wetu Tanzania... Muhitikio wetu ni faida kwa kesho, maana kesho yetu Watu wa Mataifa mbalimbali watakuja na Uchumi utaongezeka, Mahoteli, Uber mpaka Watu wata watumia Bibi zao senti ya Sukari kupitia Tigopesa.utaenda?
haya bhana... utaniwakilishaMuhimu kwenda kujumuika na kuunga mkono vitu vitakavyo kuwa Alama ya Uzalendo wetu Tanzania... Muhitikio wetu ni faida kwa kesho, maana kesho yetu Watu wa Mataifa mbalimbali watakuja na Uchumi utaongezeka, Mahoteli, Uber mpaka Watu wata watumia Bibi zao senti ya Sukari kupitia Tigopesa.
Nichagulie tusi lingine bana baba angu hayupogo ujueBarida tu kubabako
Njoo WhatsAppNichagulie tusi lingine bana baba angu hayupogo ujue
Karibu ndugu yangu, baada ya kazi mwaka mzima tunajumuika, kuna Fashion, kuna Misosi, Vyuraaaa vya kutosha ( wenye wake twende nao ) Binafsi tumekubalina na Mke wangu tushindane kuoneshana Chura.. Atakae shinda siku hiyo ana mfanyia Massage mwenzie kwa Week moja kila Usiku.haya bhana... utaniwakilisha
Kila la kheri mkuuKaribu ndugu yangu, baada ya kazi mwaka mzima tunajumuika, kuna Fashion, kuna Misosi, Vyuraaaa vya kutosha ( wenye wake twende nao ) Binafsi tumekubalina na Mke wangu tushindane kuoneshana Chura.. Atakae shinda siku hiyo ana mfanyia Massage mwenzie kwa Week moja kila Usiku.